Category: Kitaifa
Hatma ya pingamizi la Mbowe Septemba Mosi
Makama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumi Uchumi kesho Septemba 1, 2021 itaamua pingamizi la Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake [...]
Wasemayo wananchi sakata la Gwajima na Silaa
Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima ameadhibiwa na Bunge baada ya kukutwa na hatia ya kulidharau na kuhususha hadhi ya Bunge. Askofu Gwajima ameta [...]
Askofu Gwajima, Jerry Silaa waadhibiwa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia azimio la Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, kuwasimamisha kudhuria mikutano miwili wab [...]
Kipindi anachorekodi Rais Samia Suluhu
Taarifa iliyotolewa na Ikulu leo Agosti 29 2021, inaeleza kwamba Rais Samia Suluhu ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'Royal Tour' kwa lengo la kuit [...]
Rais Samia: Utandawazi usiharibu utamaduni wetu
Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka jamii nchini kulinda na kuendeleza mila, tamaduni na desturi zilizo nzuri na kuwarithisha vizazi vya sasa na v [...]
Matano aliyoongea Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali, ambaye pia ni Mkurugenzi wa idara ya habari maelezo, Gerson Msigwa leo alioongea na waandishi wa habari jijini Dodoma. Katik [...]
Ifahamu safari ya kundi la Taliban kutoka msituni hadi Ikulu.
Tangu kundi la Taliban litwae utawala wa nchi ya Afghanistan kumekuwa na habari na taarifa nyingi kuhusu kundi hilo. Lakini umewahi kuwa nini hasa chi [...]
Waziri Mkuu akagua Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokagua ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi iliyopo eneo la Rungwa, Mpanda, [...]
Rais Samia apewa kongole na mabalozi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo amepokea hati za utambulisho wa mabalozi watano walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao h [...]
Katiba sio tatizo, Watanzania hatujui tunataka nini
Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za ugaidi, kumekuwapo na sa [...]