Category: Kitaifa
Rais Samia: Mabadiliko ya tabia ya nchi yanaathiri Watanzania 60%
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa uliojadili athari za mabadiliko ya tabia nchi yanayoikumba dunia na kusis [...]
Ndugulile atoa neno la mwisho, akabidhi ofisi
Aliyekuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amekabidhi ofisi kwa waziri mpya, Dkt. Ashatu Kijaji na kumshukuru Ra [...]
Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi wawili
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Yona Killagane kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya U [...]
Faida 6 za Rais Samia kuhudhuria Baraza la Umoja wa Mataifa
Mkutano wa 76 wa Baraza la Umoja wa Mataifa utaanza rasmi Jumanne Septemba 21, 2021 jijini New York, Marekani, Makao Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Katik [...]
Rais Samia awasili Marekani, apokelewa kwa shangwe
Rais Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
Mara baada ya kuwasili jijini New Yo [...]
Fahamu zaidi kuhusu mkutano atakaohutubia Rais Samia Marekani
Rais Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini na kwenda Marekani kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kidiplomasia kubwa ikiwa ni mkutano wa Baraza Kuu la [...]
Mfahamu Mchungaji wa kwanza mwanamke toka jamii ya Kimasai
Mchungaji Rebecca Maduley Kurubai, anaingia katika rekodi kuwa Mwanamke kutoka kabila la kimasai Tanzania kupadrishwa katika Kanisa la Kiinjili la Kil [...]

Rais Samia kuhutubia Baraza la Umoja wa Mataifa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kesho tarehe 18 Septemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea New York nchin [...]
January Makamba aanza na TANESCO
Waziri wa wa Nishati, January Makamba (MB) amefanya ziara fupi kwenye kituo cha udhibiti wa mfumo wa usafirishaji umeme (GCC) kilichopo Ubungo jijini [...]
Songea namba 7 miji inayokua kwa kasi zaidi duniani
Ifikapo mwaka 2025 idadi ya watu duniani inakadiriwa itafika bilioni 8.1. Katika kipindi hiki miji mingi barani Ulaya imekuwa ikikua kwa kasi ndogo, l [...]