Category: Kitaifa
Fahamu kuhusu meli ya Mv. Mwanza
Hatimaye Serikali imefanikiwa kuishusha majini meli mpya itakayokuwa ni kubwa kuliko zote ndani ya Victoria ya Mv.Mwanza “Hapa kazi tu” baada ya ujenz [...]
Rais Samia awataka walionufaika na mikopo ya elimu kurudisha
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wanafunzi walionufaika na mikopo ya elimu ya juu kukumbuka kurudisha fedha hizo ili ziweke k [...]
14 wakamatwa kwa tuhuma za kupora katika ajali Tanga
Jeshi la Polisi, Mkoa wa Tanga limewakamata watu 14 ambao wanatuhumiwa kufanya uporaji katika ajali iliyohusisha vifo vya watu 20 na majeruhi 12 iliyo [...]
Bil 2.6 zalipwa na NSSF kwa vyeti feki
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jmaii (NSSF) imetumia Sh bilioni 2.6 kuwalipa watumishi 183 waliofutiwa ajira kwa kukutwa na vyeti feki.
Taarifa hiyo [...]
Bandari ya Mtwara kuwa kitovu cha meli kubwa
Bandari ya Mtwara inatarajia kuwa kitovu cha kupokea meli kubwa za makasha kisha kuyapeleka nchi nyingine kwa kutumia meli ndogo.
Kaimu Meneja wa B [...]
Rais Samia awalilia waliofariki Syria na Uturuki
Rais Samia Suluhu Hassan ameungana na viongozi mbalimbali duniani kuomboleza vifo vya zaidi ya watu 3,500 waliofariki dunia baada ya kutokea kwa tetem [...]
Lita 910 zingine za dizeli SGR zakamatwa
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi amesema wamefanikiwa kukamata lita 910 za mafuta aina ya dizeli yanayotumika katika mradi wa Reli [...]
Serikali kugharamia msiba wa watu 17 Tanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa maelekezo kuwa Serikali isimamie msiba wa Watu 17 waliofariki kwa ajali Tanga [...]
Rais Samia aomboleza ajali iliyoua watu 17 mkoani Tanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kusikitishwa na ajali iliyoua watu 17 mkoani Tanga.
Nimesikit [...]
Vijana 147 waliojiunga JKT wabainika kuwa na VVU
Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI imesema katika kipindi cha miaka mitatu kilichoanzia 2018, vijana wanaojiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taif [...]