Category: Kitaifa
Mabasi 4 ya mwendokasi yatengwa kwa ajili ya wanafunzi
Wakala wa mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam (DART) imetenga mabasi manne makubwa asubuhi na jioni kwa ajili ya kubeba wanafunzi wa shule za msingi [...]
Mwanafunzi wa chuo ajiua kwa kujinyonga
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) , Gunze Luhangija amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kile kinachodaiwa kuwa ni msongo wa mawaz [...]
Mfumuko wa bei washuka nchini
Kasi ya mfumuko wa bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioishia Disemba imeshuka kidogo baada ya kung’ang’ania katika kiwango kimoja kwa miezi miwili m [...]
Bwawa la Nyerere lazidi kujaa
Ujazo wa maji katika bwawa la kufua ueme la Julius Nyerere (JNHPP) linalotarajiwa kujaa ndani ya miezi 18 hadi jana ulifika mita 108.31 kutoka usawa w [...]
Serikali kununua mahindi ya wakulima
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, ametangaza kuwa kuanzia Mei, mwaka huu, serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), itaanza kununu [...]
Tahadhari kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT)
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka Watanzania kuwa makini na utapeli mpya unaofanyika kwa njia ya barua pepe unaoelekeza kulipa kiasi fulani cha fe [...]
Mauzo ya nyama nje yaongezeka
Mauzo ya nyama nje ya nchi kwa kipindi cha Julai hadi Desemba 15 mwaka jana yalifikia tani 5,158.93 sawa na ongezeko la asilimia 21.7 ikilinganishwa n [...]
Rais Samia atengua uteuzi wa Diwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani aliyemteua tarehe 03 Januari, 2023 kuw [...]
Zaidi ya watainiwa 270 wafutiwa matokeo darasa la nne, kidato cha pili
Udanganyifu katika vyumba vya mitihani umewaponza watahiniwa 279 wa kidato cha pili na darasa la nne mwaka jana kutokana na Baraza la Mitihani Tanzani [...]