Category: Kitaifa
Ziara ya Rais Samia nchini Ufaransa yazaa matunda, wafanyabiashara wanufaika
Thamani ya biashara kati ya Tanzania na Ufaransa imekua kwa asilimia 40.6 kwa mwaka 2022 kutokana na kuimarishwa kwa uhusiano baina ya mataifa hayo ku [...]
Lissu: Mwenyekiti yuko wapi
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara) Tundu Lissu ametua nchini, akitokea Ubelgiji alikokimbilia baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 huk [...]
Zumaridi ahukumiwa mwaka mmoja jela
Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza imemhukumu Diana Bundala maarufu 'Mfalme Zumaridi' kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kumkuta na hatia kati [...]
Orodha ya wakuu wa wilaya wanaoendelea na kazi
Orodha ya wakuu wa wilaya wanaoendelea na kazi.
[...]
Wakuu wapya wa wilaya 37
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37.
[...]
Hatua zilizochukuliwa dhidi ya wauguzi wa Ishihimilwa
Baada ya uchunguzi kufanywa kuhusu tukio la video fupi iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari ikiwahusisha watumishi wawili, Bi. [...]
Rais Samia afanya utenguzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya utenguzi wa nafasi za Viongozi wafuatao:-
1. Bw. Reuben Ndiza Mfune, Mku [...]
Wito wa Rais Samia kuhusu uwekezaji wavutia kampuni 400 kutoka Ulaya
Akiwa kwenye maonesho ya biashara ya kimataifa (Dubai Expo), Rais Samia Suluhu Hassan aliwaalika wawekezaji na wafanyabiashara waliohudhuria mkutano h [...]
Uzalishaji Umeme na gesi asilia waongezeka nchini
Wizara ya Nishati imesema uwezo wa mitambo ya kuzalisha umeme iliyoungwa katika mfumo wa gridi ya taifa umeongezeka na kufi kia megawati 1,777.05 Dese [...]