Category: Kitaifa
Kauli za wachezaji wa Morocco zilivyoibua hisia za Waafrika
Hivi karibuni kumeibuka mjadala miongoni mwao waafrika hasa katika mitandao ya kijamii kufuatia kauli zinazotiliwa shaka kua ni kauli za kibaguzi kwa [...]
Wadau waitwa kujadili nauli za SGR
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imeitisha kikao cha wadau kujadili nauli za abiria wa treni ya njia ya Reli ya Kisasa--SGR ambapo Shirika [...]
TRC yatangaza nauli za SGR
Shirika la Reli Tanzania TRC limependekeza nauli mbalimbali za abiria katika Treni za Reli ya Kisasa SGR ambapo mapendekezo hayo yamepelekwa mamlaka y [...]
Rais Samia kuifumua serikali
Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wake, amebaini kuwepo kwa baadhi ya watu wasioendana na kasi yake.
Am [...]
Mbeya sasa kuna njia nne
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mbeya mjini, Humphrey Nsomba amempongeza Mwenyekiti wa chama hicho Taifa na Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu kwa ujenzi w [...]
Misharahara mipya wafanyakazi wa ndani na hotelini
Serikali imetangaza viwango vipya vya kima cha chini cha mishahara kwa wafanyakazi wa ndani na hotelini ambavyo vitaanza kutumika Januari 1, 2023.
[...]
Kicheko bei mpya za petroli na dizeli
Dar es Salaam. Huenda itakuwa kicheko na maumivu kwa watumiaji wa nishati ya mafuta baada ya kutolewa kwa bei mpya zinazoonyesha kupanda na kushuka kw [...]
Majadiliano Bomba la Mafuta TAZAMA yaanza
Wakati bomba la mafuta la Tanzania likitarajiwa kusafirisha dizeli kutoka Tanzania hadi Zambia, mawaziri wa sekta hizo wamekutana kujadili na kutoa ma [...]
Ofa ya Rais Samia yapaisha mapato Wizara ya Ardhi
Mapato ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi yameongezeka mara mbili kutokana na ofa iliyotolewa na Rais Samia Suluhu kwa wananchi ya kuli [...]
Ajira Jeshi la Polisi
Jeshi la Polisi Tanzania linapenda kuwajulisha kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Camillus Wambura, tarehe 05.12.2022 ametoa tangazo la ajira kwa vija [...]