Category: Kitaifa
Sh8 bilioni zatengwa kusomesha madaktari
Serikali imetenga Sh8 bilioni kwa ajili ya kusomesha madaktari na wataalamu ndani na nje ya nchi.
Imesema kati ya fedha hizo, Sh3 bilioni zitatumik [...]
Chanzo cha ajali ya basi Sikonge
Majeruhi 13 kati ya 48 wa ajali ya basi la Sasebosa iliyotokea wilayani Sikonge wameruhusiwa kutoka hospitalini baada ya kupatiwa matibabu na afya zao [...]
Sababu ya Mabeyo kuteuliwa na Rais Samia
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Hifadhi ya Eneo la Ngoron [...]
M/Kiti Kamati ya Hakimiliki
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na MIchezo Mhe. Mohamed Mchengerwa amemteua Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) kuwa mwenyekiti wa kamati ya haki m [...]
Mapacha watenganishwa salama
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imetoa taarifa kuhusu upasuaji wa mapacha walioungana ambao leo Julai 1,2022 wamefanyiwa upasuaji wakuwatenganisha na [...]
Barua ya wazi ya Rais Samia Suluhu
Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi katika kipindi hicho, Taifa letu limepitia kipindi cha furaha, ma [...]
Watalii 320 watua Zanzibar
Miaka miwili baada ya watalii kutoka nchini Italia kusitisha safari zao kwenda Zanzibar kutokana na janga la Uviko-19, safari hizo zimerejea baada ya [...]
Mabeyo akabidhiwa Ngorongoro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Mkuu wa Majeshi wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Mst Jen. Venance Salvatory Ma [...]
Tahadhari upepo mkali usiku wa leo
Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3.00 usiku wa leo: Tarehe 30/06/2022
[...]
Serikali inavyowathamini wanaohamia Msomera
Katika kuhakikisha wakazi wanaohama kutoka Ngorongoro wanakuwa na maisha bora zaidi katika makazi mapya Msomera, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jam [...]