Category: Michezo

Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 08 (Lampard na Gerrad kuchukua mikoba ya Bruce kunako Newcastle, Asensio kujiunga na Liverpool)
Wamiliki wapya wa Newcastle wanalenga kuifanya klabu yao iwe kubwa kama Manchester City na Paris St-Germain kiushindani (Times).
Kocha wa zamani wa [...]
Majibu ya Mbwana Samatta baada ya Taifa Stars kufungwa
Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mbwana Samatta amesema kuwa wapinzani wao timu ya Taifa Benin, walikuwa vizuri kwenye ulinzi ndio [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 07 (Haaland bado yupo sana Dortmund, Umtiti sokoni Januari)
Klabu za Chelsea, Manchester City na Manchester United zipo kwenye kinyang’anyiro cha kumuwania mshambuliaji kinda wa Stoke City, Emre Tezgel (16) amb [...]
Timu 10 zinazopata fedha nyingi duniani kupitia udhamini wa jezi
Kutokana na ukweli kwamba mpira wa miguu ndio mchezo wenye mashabiki wengi zaidi ulimwenguni, wadhamini mbalimbali hutoa fedha nyingi kwa ajili ya kuj [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 06 (Xavi mbioni kuinoa Barcelona, Franck Kessie Kuziba pengo la Pogba Man United)
Klabu ya Red Bull Salzburg wanahitaji kati ya pauni milioni 25 - 34 kumuuza mshambuliaji wa Ujerumani Karim Adeyemi, ambaye anawindwa na klabu ya Live [...]
Ferguson atofautiana na Ole kuhusu Ronaldo
Katika mchezo uliopita wa timu ya Manchester United dhidi ya Everton, wapenzi wengi wa soka walishangazwa na kitendo cha kocha wa timu hiyo, Ole Gunna [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 05 (Ranieri rasmi Watford, Sanchez njia panda Inter Milan)
Mmiliki wa Newcastle United, Mike Ashley anajua njia pekee ya kumbadili kocha mkuu wa Newcastle ni kulipa kila kandarasi ya Steve Bruce ambayo alikuba [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 4 (Toure kutua Barcelona, Ranieri ndani ya Watford)
Atletico Madrid nayo imeingia kwenye kinyang'anyiro cha kumnasa mshambuliaji wa Chelsea, Timo Werner, 25 (Transfer Market Web)
Mmiliki wa Newcastle [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 03 (Cavani mbioni kujiunga Real Madrid, Fekir kutua Arsenal)
Paris St-Germain wameripotiwa kujitoa katika mbio za kumsajili mshambuliaji wa Norway, Erling Haaland (21) kutoka Borussia Dortmund msimu ujao (Mirror [...]
Guardiola amwagia sifa Klopp
Klabu ya Liverpool inaongoza kwa pointi moja mbele ya klabu ya Manchester City ambapo miamba hiyo ya soka itakutana kwenye mchezo wa Ligi kuu England [...]