Category: Michezo
Karia atia neno Siku ya Wananchi
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia ameipongeza Yanga kumualika Kocha mkubwa Afrika Pitso Mosimane na kwamba amesikia Simba nao w [...]
Yanga yasaini mkataba wa bil.12 na Sportpesa
KLABU ya Yanga ya Dar es Salaam, leo imesaini mkataba mpya wa udhamini na Kampuni ya Sportpesa, wenye thamani ya Sh Bil. 12.335 kwa kipindi cha miaka [...]
Kauli ya Manara baada ya kufungiwa
Msemaji wa Yanga, Haji Manara ametoa kauli baada ya kufungiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutojihusisha na soka kwa miaka miwili ameandika ha [...]
Manara afungiwa miaka 2
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania leo Julai 21, 2022 imemfungia Msemaji wa Yanga Sc, Haji S. Manara kujihusisha na Soka ndani [...]
Wachezaji walioitwa kambini
Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Kim Poulsen ameita kikosi cha wachezaji 24, kitakachoingia kambini kwa ajili ya michezo ya kufuzu kwa [...]
Sopu atua Azam FC
Kiungo mshambuliaji wa Coastal Union, Abdul Hamis Seleman "Sopu" amejiunga na matajiri wa Jiji Azam FC kwa mkataba wa miaka mitatu.
Sopu aliefanya [...]
LaLiga waipongeza Yanga SC
Yanga yafikia Next level msimu huu hadi kufikia hatua ya kuchapishwa kwenye ukurusa wa Laliga na kupewa pomgezi kwa ushindi wa Kombe la AFSC.
& [...]
Morrison arejea Yanga SC
Klabu ya Young Africans SC imetangaza rasmi kumrejesha winga wake Mghana, Bernard Morrison mwenye umri wa miaka 29 kutoka kwa watani zao Simba SC.
[...]
Yanga haina mpinzani
Baada ya vuta n’kuvute kwa dakika 120 kati ya Yanga dhidi ya Coastal Union kwenye Uwanja wa Sheikh Abeid jijini Arusha hatimaye bingwa wa kombe la sh [...]