Category: Michezo
Morrison aomba uraia Tanzania
Mchezaji wa Ghana Bernard Morrison amemuomba Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu kumpa kibali cha kumuwezesha kuishi Tanzania kama raia wa Tanzania kwa [...]
Simba kumuaga Wawa
Klabu ya Simba imeamua kuacha na beki wake wa kati raia wa Ivory Coast Pascal Wawa baada ya mkataba wake kumalizika kwenye klabu hiyo yenye makazi yak [...]
Nabi amtamani Msuva
Simon Msuva yupo nchini tangu mwaka jana baada ya kuzinguana na timu yake ya Wydad Casablanca ya Morocco na kupelekana Fifa, ila juzi alifunga mabao m [...]
Serengeti Girls yafuzu Kombe la Dunia
Timu ya taifa ya Wanawake chini ya miaka 17 ya Tanzania, Serengeti Girls imefuzu kucheza fainali ya Kombe la Dunia 2022 nchini India.
Ushindi huo w [...]
Pablo atemwa na Simba
Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu hiyo Pablo Franco Martin.
Katika kipindi chake koc [...]
Atupa lawama kwa bodi
Mmiliki wa klabu ya Simba, Mohamed Dewji ametupia lawama kwa bodi ya timu hiyo baada ya kupoteza mchezo wa nusu fainali dhidi ya Yanga leo Mei 28, 202 [...]
Maeneo 7 Tanzania kuonesha fainali za UEFA
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amesema mechi ya fainali ya 67 ya Ligi ya Mabingwa Ulaya(Uefa Champions League Fainal 2022) [...]
SIMBA: Kila la heri Morrison
Taarifa kwa Umma kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba iliyowekwa kwenye ukurasa wa klabu hiyo ya twitter inasema kwamba;
Klabu ya Simba [...]
Wanamitindo wanaolipwa zaidi duniani
Umewahi kujiuliza ni kiasi gani cha wanamitindo wanapata? Basi sio lazima ujiulize tena, hapa Clickhabari tumekuandalia orodha ya wanamitindo wanaolip [...]
Tanzania yalisogelea Kombe la Dunia
Katika mechi ilivyochezwa usiku wa jana kuwania kufuzu Kombe la Dunia katika dimba la Amaan huko Zanzibar kati ya Timu ya Taifa ya Wanawake U17 (Seren [...]