Tag: afya
Apata ajali, mkono washonewa tumboni
Maisha ni kama fumbo tunaamka wazima hatujui tutakutana na nini na wakati gani. Ni sawa na Martin Shawn wa nchini Uingereza ambaye alipata ajali mba [...]
Madhara 7 ya kujamiana wakati wa hedhi
Kuna tabia ambayo baadhi ya watu wamekuwa wakijamiiana wakati Mwanamke yuko kwenye mzunguko wake wa hedhi na kuona ni kama jambo la kawaida. Taarifa z [...]
Zijue sababu 3 kwanini utumie maji ya Malimao kwenye sura yako
Limao ni tunda jamii ya Chungwa ambalo hutumika sana kama kiungo kwenye chakula. Licha ya matumizi ya limao katika maisha yetu ya kila siku, lakini ba [...]
Baada ya miaka 10, chanjo ya kwanza ya Malaria yathibitishwa
Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vilemea aina nne: P falciparum, P Malarie, P. Ovale na P. vivax. Vimelea hivyo hubebwa na kusambazwa na mbu jike [...]
Dakika tano zinatosha kumfikisha mwanamke kileleni
(1) Acha kisirani muandae kisaikolojia kabla ya tendo;
Lakufanya ni kumuandaa kisaikolojia kwa kuwa unampenda, muoneshe mapenzi kama yote, acha kuc [...]

Madaktari wapendekeza chanjo ya UVIKO-19 iwe lazima
Katika kuimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa wa UVIKO-19, waganga wakuu wa mikoa wameishauri Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watot [...]

Dalili 7 za kumtambua mtu mwenye msongo wa mawazo
Si kweli mwenye nuru ya tabasamu usoni ni mwenye furaha moyoni. Watu wengi wanatatizo la msongo wa mawazo lakini mbele ya macho ya watu ni wenye furah [...]
Daktari amfumua mgonjwa kidonda baada ya kushindwa kulipia
Katika hali ya kushangaza mtaalamu wa afya ambaye hajafahamika amedaiwa kufumua nyuzi kwenye kidonda cha mgonjwa kwa madai mgonjwa huyo alishindwa kul [...]
Madiwani wataka kondomu ziongezwe
Suala la kuadimika kwa mipira ya kiume (kondomu) limezua mjadala mkali kwenye Baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, ambapo Madiwani [...]