Tag: habari kubwa za michezo

1 31 32 33 34 35 123 330 / 1222 POSTS
Serikali kununua mahindi ya wakulima

Serikali kununua mahindi ya wakulima

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, ametangaza kuwa kuanzia Mei, mwaka huu, serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), itaanza kununu [...]
Latra yatangaza nauli mpya za mwendokasi

Latra yatangaza nauli mpya za mwendokasi

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza nauli mpya za teksi mtandaoni, pikipiki mtandao na Mabasi yaendayo Haraka (BRT) maarufu mwen [...]
Rais Samia atengua zuio la mikutano ya hadhara

Rais Samia atengua zuio la mikutano ya hadhara

Rais Samia Suluhu Hassan ameruhusu kufanyika kwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa iliyozuiliwa kwa muda huku akiwataka wanasiasa kufanya siasa z [...]
Asimilia 99 ya lengo yakusanywa na TRA

Asimilia 99 ya lengo yakusanywa na TRA

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya TZS trilioni 12.46 kati ya Julai hadi Desemba 2022, sawa na 99% ya lengo la kukusanya TZS trilioni 12.48. [...]
Majizzo apinga mtazamo wa Hando kuhusu mikopo ya serikali

Majizzo apinga mtazamo wa Hando kuhusu mikopo ya serikali

Mkurugenzi wa EFM na TVE, Francis Ciza "Majizzo" amepinga mtazamo wa mtangazaji wa EFM redio, Gerald Hando kuhusu namna ambavyo serikali imekua ikichu [...]
Magazeti ya leo Desemba 30,2022

Magazeti ya leo Desemba 30,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Desemba 30,2022. [...]
Top 6 Watanzania waliong’ara 2022

Top 6 Watanzania waliong’ara 2022

Kama hatua za binadamu zinavyopishana pale atembeapo  ndivyo maisha ya binadamu yalivyo. Wakati mmoja akienda mbele mmoja hubaki nyuma na Waswahili wa [...]
Ajiua akihofia kudaiwa hela ya soda

Ajiua akihofia kudaiwa hela ya soda

Kijana  anayefahamika kwa jina la Bukindu Bukindu (22), mkazi wa kijiji cha Ihega, Kata ya Bukoli wilayani Geita amejiua kwa kunywa sumu ya panya, aki [...]
Sangara wapungua Ziwa Victoria

Sangara wapungua Ziwa Victoria

Samaki aina ya sangara wamepungua katika Ziwa Victoria kutoka tani 537,479 mwaka 2020 hadi tani 335,170 kwa mwaka 2021. Ofisa Uvuvi wa Mkoa wa Mwan [...]
Tanzania 10 bora nchi tajiri Afrika 2022

Tanzania 10 bora nchi tajiri Afrika 2022

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inashika namba 9 kwenye orodha ya nchi 10 tajiri kwa mujibu wa ripoti ya mtandao wa Zoom Afrika kwa mwaka 2022, Tanza [...]
1 31 32 33 34 35 123 330 / 1222 POSTS
error: Content is protected !!