Tag: habari magazetini
TID: ndomaana staki
Msanii wa Bongo Fleva nchini, Khalid Mohamed maarufu kama TID ameonyesha kuchukizwa na kitendo cha waandaji wa Tuzo za Muziki Tanzania kumualika kweny [...]
Athari 3 za matango
Matango ni moja wapo ya matunda yanayopendwa sana na hutumika kama kinga ya mwili na kwenye urembo wasichana hupaka usoni ili kuwa na ngozi nyororo na [...]
Wakutwa na madawa ya kulevya gramu 70.77
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limefanikiwa kumkamata maeneo ya Osunyai, Abdi Hamis (27) mfanyabiashara, mkazi wa Ngarenaro na Ally Said (25) dereva na [...]
Harmonize: Rayvanny mwanangu
Msanii na mmiliki wa lebo ya Konde Gang, Rajabu Abdul maarufu kama Harmonize anazidi kuionyesha jamii na ulimwengu mzima kwamba bado anampenda aliyewa [...]
Sababu za Afrika kukaa kando vita Urusi-Ukraine
Vita ya Ukraine na Urusi ambayo bado inaendelea imeitikisa dunia kwa kiwango kikubwa huku nchi, na kampuni mbalimbali zikichagua upande wa kuegemea ka [...]
Njombe wamshukuru Rais Samia
Halmashauri ya Njombe mji ni miongoni wa Halmashauri ilionufaika na fedha za mpango wa ustawi na mapambano dhidi ya UVIKO-19.
Miongoni mwa shule zi [...]
Utafiti: Nusu ya mimba duniani hazikutarajiwa
Ripoti mpya ya idadi ya watu inaeleza kuwa karibu nusu ya mimba zinazotungwa kila mwaka duniani zinakuwa siyo za kutarajiwa ambapo husababishwa na uko [...]
Taliban: Hakuna kazi bila ndevu
Wapiganaji wa Taliban wamewaagiza wafanyakazi wote wa serikali wa kiume kuwa na ndevu na kuzingatia kanuni ya mavazi ama wafutwe kazi
Shirika la ha [...]
Bashungwa apigwa spana na Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2020/2021 kutoka kwa Mkag [...]
Harmonize: Mke wangu arudi
Msanii na mmiliki wa lebo ya Konde Gang, Rajabu Abdul maarufu kama Harmonize amefunguka wazi na kueleza kwamba ameachana na mchumba wake Briana mrembo [...]

