Tag: habari za kimataifa
Maneno 150 yaongezwa kwenye misamiati ya kiswahili
Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) limefanikiwa kuongeza misamiati mipya 150 kwenye Toleo la tatu la Kamusi Kuu ya Kiswahili kama hatua ya kukikuza [...]
Majaliwa awaonya wapotoshaji Ngorongoro
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa onyo kwa watu wanaotoa maneno ya uchochezi na kupotosha kuhusiana na suala la kuwahamisha wananchi kutoka hifadhi [...]
GSM yafunguka sakata la moto
Baada ya kiwanda cha kutengeneza magodoro cha kampuni ya GSM kilichoko Mikocheni mkoani Dar es Salaam kuungua na moto Machi 14, Mmoja kati ya wasimami [...]
Profesa Mkenda aruhusu vitabu vya ziada
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amepiga marufuku maofisa elimu kuzuia vitabu vya ziada kutumika na kuonya atakayebainika [...]
CCM kubadili katiba Aprili 1, 2022
Katibu Mwenezi CCM, Shaka Hamdu Shaka, leo Jumamosi, amesema Aprili 1, 2022, chama hicho kitafanya mkutano mkuu maalumu kwa ajili ya kufanya marekebi [...]
Shilole: Nitamtia Nuh makofi
Msanii wa BongoFleva Shilole ametambulisha rasmi wimbo wake mpya wa Mama Ntilie unaendelea kufanya vizuri katika mitandao mbalimbali tangu siku ya kua [...]
Diamond amuwaza Kiba
Hatimaye msanii Diamond ameachia EP yake usiku wa jana ikiwa na takribani nyimbo 10 alizoshirikisha wasanii mbalimbali wa ndani na nje ya nchi kama Mb [...]
GSM amkalia kooni Makonda
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anadaiwa kutaka kupora nyumba ya mfanyabiashara Gharib Said Mohamed wa kampuni ya GSM.
Nyumba [...]
Bajaji Mbeya: Asante Rais Samia
Vijana waendesha bajaji kutoka Halmashauri ya Mbeya kata ya Mbalizi wametoa pongezi na shukurani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Sa [...]
Ngorongoro: Tembo aua mmoja
Mtu mmoja aliyefahamika kwa majina ya Narudwasha Titika (45), mkazi wa kijiji cha Alaitore kilichopo ndani ya Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro amefari [...]