Tag: nafasi za kazi
Rais Samia mgeni rasmi miaka 59 ya uhuru Zambia
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Uhuru wa Jamhuri ya Zambia zinazotarajiwa kufanyika [...]
Rais Samia: Viongozi simameni imara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasihi viongozi wa mkoa wa Singida kuhakikisha wanasimama imara katika uteke [...]
Mambo matatu yakufanya unapopitia simu ya mpenzi wako
Kupitia simu ya mweza wako bila wao kujua ni makos, lakini mara nyingine inaweza kuwa na umuhimu.
Ikiwa unapata hisia ya mambo kutokwenda sawa na h [...]
Rais Samia aagiza kuanzishwa kwa tovuti za kumbukumbu za viongozi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameagiza kuanzishwa kwa tovuti ya Serikali ya kuhifadhi kumbukumbu za viongozi walio [...]
Rais Samia ampa miezi sita Mkurugenzi mpya wa Tanesco
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amempa miezi sita bosi mpya wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kukomesha mgao wa umeme unaoendelea kuathiri s [...]
Rais Samia azindua kiwanda cha nne kwa ukubwa Afrika
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezindua kiwanda cha kuzalisha vioo kilichopo katika wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani kinachotarajiwa kutoa ajira [...]
Rais Samia kufungua Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Lindi kesho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 19 Septemba 2023 anatarajia kufungua Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa [...]
Ziara ya Rais Samia Mtwara imefana
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan leo Septemba 17,2023 amehitimisha Ziara ya Siku tatu Mkoani Mtwara ambapo Ziara [...]
Wananchi wa Newala wampa Rais Samia maua yake
Baadhi ya wafanyabiashara wa Wilaya ya Newala wamepongeza na kumshukuru Mhe: Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa kufungua mipaka ya kuingia na kutoka nchi [...]
Rais Samia ateuliwa kuwa mjumbe wa GCA
Rais Samia Suluhu ameteuliwa rasmi kuwa Mjumbe wa Bodi ya Ushauri ya Kituo cha Dunia cha Uhimilivu wa Mabadiliko ya Tabianchi (Advisory Board of the G [...]