Tag: nafasi za kazi
Kampuni inatafuta watu wa kulala na kuwalipa
Kampuni ya utengenezaji magodoro inayofahamika kwa jina la Casper nchini Marekani, imetangaza nafasi za kazi ya kulala usingizi kwa watu watakao kuwa [...]
Watumishi Tanga wamshukuru Rais Samia kwa nyongeza ya 23.3%
Watumishi wa Serikali Mkoani Tanga wamemshukuru Rais Samia Suluhu kwa nyongeza ya mishahara ambao umekwenda sambamba na upandishaji wa madaraja jambo [...]
Rais Samia anavyomaliza tatizo la maji nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuboresha huduma za afya na maji katika maeneo mba [...]
Mange Kimambi afutiwa akaunti
Account ya mange Kimambi iliyokuwa na wafuasi zaidi ya Million 6 imefutwa na Instagram kutokana na Kuvunja sheria za Instagram.
Kupitia akaunti yak [...]
Rais Samia azindua mradi wa maji Mbalizi
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua mradi wa maji wa Shongo- Mbalizi uliopo mkoani Mbeya ambao umegharimu zaidi ya Sh3.3 bilioni na utahudumia zaidi wa [...]
Serikali yatenga bil. 2.1 kwa ajili ya mashindano ya UMITASHUMNTA na UMISSETA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. David Silinde ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendel [...]
Viongozi hakuna kutoka mpaka sensa imalizike
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amewaagiza viongozi wa Serikali ngazi ya mkoa na wilaya [...]
WhatsApp kuwaongezea nguvu Ma-admin
Mtandao wa kijamii wa WhatsApp siku zijazo utawaongezea nguvu viongozi wa makundi ya mtandao huo kuwa na uwezo wa udhibiti ikiwemo kufuta ujumbe wa wa [...]
Utaratibu mpya wa NHIF wasitishwa
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesitisha mara moja utaratibu mpya wa matibabu uliotolewa na mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ulioanza kutumika [...]