Tag: nafasi za kazi
Meena Ally alia na kifo cha rapa RickyRic
Mtangazaji wa redio ya Clouds kutoka nchini Tanzania, Meena Ally ameonyesha kuguswa na kifo cha rapa kutoka Afrika Kusini RickyRic aliyekutwa amefarik [...]
TANAPA yasikia kilio cha Hanscana, Lavalava na Mbosso
Baada ya mtayarishaji wa video nchini Hanscana kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram changamoto anazopata pindi aendapo kufanya kazi zake kwenye v [...]
Diamond, Harmonize kukinukisha Machi 4
Mahasimu wawili kwenye muziki wa bongo fleva nchini Tanzania Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Rajabu Abdul ‘Harmonize’ wanatarajia kuonyeshana mabav [...]
Harmonize aitwa wokovuni
Mtumishi wa Mungu Nabii Mkuu Dr.GeorDavie kutoka Arusha ameupiga na kuucheza wimbo wa 'Mwaka Wangu' uliombwa na msanii wa Bongofleva na mmiliki wa le [...]
Neema kwa watakao hama Ngorongoro kwa hiari
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali ipo tayari kulipa gharama zote kwa walio tayari kuhama kwa hiari eneo la Ngorongoro na kusisitiza wanaot [...]
Wauzaji wa nyeti za binadamu wakamatwa
Kamanda wa Polisi mkoani Tabora, ACP Richard Abwao amesema wanawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kujihusisha na uuzaji wa viungo vya binadamu ikiwem [...]

Kampuni ya Elon Musk inakabiliwa na madai ya unyanyasaji wa wanyama
Kampuni ya San Francisco Neuralink, inayoendeshwa na Elon Musk, imekuwa ikifanya kazi kwenye chip ambayo inaweza kupandwa kwenye ubongo wa mwanadamu [...]
Waziri Mkuu atoa msimamo kuhusu Ngorongoro
Waziri MKuu, Kassim Majaliwa amesema serikali inaangalia utaratibu utakaofaa kuhusu suala la uhifadhi katika eneo la Loliondo lililopo kwenye Wilaya y [...]
Hospitali ya rufaa Muhimbili yaipa heshima Tanzania kimataifa
Maabara ya hospitali ya Taifa ya Muhimbili Mloganzila imeingia katika orodha ya maabara zinazotoa huduma bora duniani baada ya kupata ithibati ya ubor [...]

Tanzania itakavyonufaika na ziara ya Rais Samia nchini Ufaransa
Mkurugenzi wa Mawasiliano-Ikulu, Bi. Zuhura Yunus alitoa taarifa siku ya jana Februari 9,2022 ikisema Rais Samia akiwa nchini Ufaransa atashuhudia uti [...]