Tag: nafasi za kazi
Dully Sykes aeleza kinachomsibu Profesa Jay
Msanii nguli wa bongofleva Dully Sykes a.k.a Mr Misifa ameeleza kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa mwanamuziki na aliyewahi kuwa mbunge wa Mikumi, [...]
Keisha alilia mrabaha wake bungeni
Msanii na Mbunge wa Viti Maalumu Khadija Taya maarufu kama Keisha, amefunguka bungeni na kuanza kudai mirabaha na kusema na yeye anastahili kupewa kwa [...]
Serikali kufanya tathmini kushusha bei ya vifaa vya ujenzi na vinywaji
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji akiwa jijini Dodoma jana alitoa taarifa inayoelezea tathmini ya mwenendo wa uzalishaji, usa [...]
Tamko kuhusu IST kupita daraja la Tanzanite
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam , ACP Jumanne Muliro ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinazosem [...]
Furahia wikiendi na filamu ya ‘The girl allergic to Wi-Fi’
Huwenda ukawa umewahi kusikia magonjwa mengi lakini je, umeshawahi kusikia ugonjwa wa mtu kutoruhusiwa kuwa karibu na sehemu yenye mtandao au kutumia [...]

Rais Samia atumbua wanne
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu, ametengua wakurugenzi wanne ikiwemo Buchosa, Singida mjini, Mbeya na Iringa kutokana na ub [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Februari 3,2022
Hizo hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania. Husikubali kupitwa;
https://www.youtube.com/watch?v=PkXxm2tCtgs&list=PLq [...]
Vipaumbele vya Zuhura Yunus baada ya uteuzi
Aliyewahi kuwa mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), Zuhura Yunus ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu ame [...]
Ijue safari ya mahusiano ya Rihanna
Hatimaye Rihanna amepata mwenza ambaye anamfanya ajione kama msichana pekee kwenye dunia hii kama asemavyo katika wimbo wake wa ‘Only girl in the wor [...]
Mtoto auawa na kutolewa sehemu za siri
Mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Tutuo, wilayani Sokonge , Mkoa wa Tabora, Maria Ngassa(13) ameuawa kikatili wakati akienda kisimani [...]