Tag: trending videos
Rais Samia afanya uteuzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Makatibu wakuu wawili, kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo na [...]
Rais Samia anavyoimarisha mifumo ya chakula na kilimo
Rais Dkt. Samia Suluhu ameridhia Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano mkubwa wa Kilimo utakaohusisha Viongozi, watu mashuhuri na wadau wapya 3,000.
Ua [...]
Serikali kufikisha umeme vijiji vyote 2030
Serikali ya Tanzania imedhamiria kuimaliza changamoto ya ukosefu wa umeme katika vijiji vyote vya nchi hiyo ifikapo mwaka 2030.
Serrikali imeonyesh [...]
Ufafanuzi mabehewa mapya ya MGR
Shirika la Reli la Tanzania- TRC limetoa ufafanuzi kuhusu mabahewa mapya ishirini na mbili (22) ya reli ya zamani yaliyonunuliwa na Serikali ya Jamhur [...]
LATRA yazikataa nauli za SGR
Mamlaka ya uthibiti wa usafiri wa ardhini nchini Tanzania (LATRA) yakanusha nauli zinazosambazwa mitandaoni zikitajwa kua ndio nauli zitakazotumika ka [...]
Kauli za wachezaji wa Morocco zilivyoibua hisia za Waafrika
Hivi karibuni kumeibuka mjadala miongoni mwao waafrika hasa katika mitandao ya kijamii kufuatia kauli zinazotiliwa shaka kua ni kauli za kibaguzi kwa [...]
TRC yatangaza nauli za SGR
Shirika la Reli Tanzania TRC limependekeza nauli mbalimbali za abiria katika Treni za Reli ya Kisasa SGR ambapo mapendekezo hayo yamepelekwa mamlaka y [...]
Rais Samia kuifumua serikali
Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wake, amebaini kuwepo kwa baadhi ya watu wasioendana na kasi yake.
Am [...]
Mbeya sasa kuna njia nne
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mbeya mjini, Humphrey Nsomba amempongeza Mwenyekiti wa chama hicho Taifa na Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu kwa ujenzi w [...]
Misharahara mipya wafanyakazi wa ndani na hotelini
Serikali imetangaza viwango vipya vya kima cha chini cha mishahara kwa wafanyakazi wa ndani na hotelini ambavyo vitaanza kutumika Januari 1, 2023.
[...]