Tag: trending videos

1 50 51 52 53 54 123 520 / 1230 POSTS
Pacha aliyebaki afariki

Pacha aliyebaki afariki

Pacha aliyesalia ‘Rehema’ kati ya mapacha wawili waliotenganishwa Julai Mosi mwaka huu, amefariki dunia jana saa 5 asubuhi Agosti 11, wakati akiendele [...]
Watu wanne wamefariki Kenya, vurugu za Uchaguzi Mkuu

Watu wanne wamefariki Kenya, vurugu za Uchaguzi Mkuu

Licha  ya  juhudi za wagombea wa viti mbalimbali nchini Kenya kulaani vurugu na kuwataka wafuasi wao kuwa watulivu wakati shughuli ya kuhesabu kura ik [...]
Yanga SC yashangazwa kutoalikwa mkutano wa CAF

Yanga SC yashangazwa kutoalikwa mkutano wa CAF

Uongozi wa Klabu ya Yanga umesema umeshangazwa kwanini hawakupewa mwaliko wa kuudhuria mkutano wa 44 wa Shirikisho la CAF. Kaimu Ofisa Mtendaji Mku [...]
Wakulima kufaidika na punguzo bei ya mbolea

Wakulima kufaidika na punguzo bei ya mbolea

Wakati Serikali ikitarajia kuanza kutoa ruzuku katika pembejeo za kilimo ikiwemo mbolea, wakulima wametakia kufuata utaratibu ulioweka ikiwemo kujisaj [...]
Makabidhiano ya data za utafutaji wa mafuta na gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar

Makabidhiano ya data za utafutaji wa mafuta na gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar

Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, tarehe 10/8/2022 ameshuhudia makabidhiano ya data za utafuta [...]
Mrithi wa Panya Magawa ni Kennedy

Mrithi wa Panya Magawa ni Kennedy

Baada ya Panya Magawa kufariki dunia mwanzoni mwa mwaka huu , Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), mkoani Morogoro, kimempata mrithi wake mwenye j [...]
Rais Samia ataka Kituo cha Watoto kujengwa Soko la Njombe

Rais Samia ataka Kituo cha Watoto kujengwa Soko la Njombe

Uongozi wa Mkoa wa Njombe umetakiwa kuweka kituo maalumu cha kulelea watoto katika soko kuu la Njombe kwa ajili ya watoto wa wanawake wanaofanya biash [...]
Rais Samia atangaza ujio wa Filamu ya The Hidden Tanzania

Rais Samia atangaza ujio wa Filamu ya The Hidden Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema kwamba vivutio ambavyo havikuonyeshwa kwenye awamu ya kwanza ya filamu ya Ro [...]
Gharama ya kumuona daktari mbioni kufutwa

Gharama ya kumuona daktari mbioni kufutwa

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameshangazwa na baadhi ya hospitali kuwatoza wagonjwa kiasi cha shilingi 15,000 ili kuweza kumuona daktari jambo ambalo s [...]
Ujumbe kwa Simba na Yanga kutoka Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

Ujumbe kwa Simba na Yanga kutoka Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa amezipongeza na kuzitaki kila heri timu za Simba na Yanga kuelekea mchezo wao wa [...]
1 50 51 52 53 54 123 520 / 1230 POSTS
error: Content is protected !!