Author: Cynthia Chacha
Serikali yapiga marufuku wagonjwa wa saratani kurudishwa nyumbani
Taasisi ya Saratani ya Ocean Road imetakiwa kutomrudisha mgonjwa yeyote wa Saratani nyumbani kwa sababu ya kutokuwa na pesa za matibabu.
Kauli hiyo [...]
Wadudu hawa hufanya mapenzi kwenye uso wako
Wadudu chini ya ngozi ya uso kama vile Demodex folliculorum hutumia maisha yao yote kuishi ndani kabisa ya uso wa mwanadamu.
Usiku, viumbe hao huon [...]
Magazeti ya leo Juni 28,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Juni 28,2022.
[...]
Tanzania mwenyeji tuzo za MTV Africa 2023
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa amekutana na kufanya mazungumzo na makamu wa Rais na meneja mkuu wa Paramount Africa and [...]
Mahakama yaweka zuio akina Mdee kuguswa
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo Jumatatu Juni 27,2022 imetoa zuio la muda kuhusu kutofanyika chochote kwenye ubunge wa Halima Mdee na wenzake [...]
Kesi ya kina Mdee kuanza kusikilizwa leo
Shauri la waliokuwa wanachama 19 wa Chadema, Halima Mdee na wenzake wanaoomba ridhaa ya mahakama kufungua shauri la kupinga uamuzi wa chama chao kuwav [...]
Madhara ya kuvaa mawigi
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ngozi kutoka Hospitali ya Lugalo, Dk. Msafiri Kombo, alisema kitendo cha wanawake kuvaa mawigi ambayo tayari yameshavali [...]
Serikali kunongesha sekta ya maziwa
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulgea amesema seriklai imejipanga kuhakikisha kunakuwa na mazingira mazuri ya uwekezaji katika sekta ya mazi [...]
Umuhimu wa sensa kwa Rais Samia
Kamisa wa sensa nchini, Anne Makinda amesema Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti, mwaka huu, itakapokamilika itaisaidia serikali na kumpa Ra [...]
Tanzania yapata tuzo ya Ubunifu wa Kutangaza Utalii
Tanzania imefanikiwa kupata Tuzo ya Banda Bora lenye Ubunifu wa Kutangaza Utalii katika maonesho ya 37 ya utalii ya Seoul International Travel Fair (S [...]