Author: Cynthia Chacha
Neema vituo vya afya Ludewa
Halmashauri ya wilaya ya Ludewa mkoani Njombe ni miongoni mwa halmashauri zilizopokea fedha kiasi cha shilingi milioni 250 kwa ajili ya kujenga jengo [...]
Steve : Natoa masaa 48
Msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania (SMT), Steve Nyerere ametoa masaa 48 kwa Mbunge wa Muheza, Hamisi Mwinjuma maarufu kama Mwana FA na wasanii w [...]
Kaburi la vijana wengi
Vijana wengi wamekuwa wakishindwa kutoka kwenye kaburi la kupata mafanikio na kusonga mbele katika maisha na hii ni kutokana na kuwa ndani ya kifungo [...]
Mtoto alawiti wenzake 19
Mtoto mwenye umri wa miaka 14 (Jina linahifadhiwa) mkazi wa Manispaa ya Iringa, anashikiliwa na Polisi kwa madai ya kuwalawiti watoto wenzake 19 kwa n [...]
Tahadhari kirusi kipya
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema serikali inafuatilia uwapo wa aina mpya ya kirusi cha UVIKO-19 kilichothibitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO [...]
Mwijaku atangaza nia
Mtangazaji wa kipindi cha Leo Tena Clouds Radio, Mwijaku ametangaza nia ya kuwa msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania wadhifa aliopewa Steve Nyerer [...]
Steve Nyerere kuvuliwa
Mbunge wa Muhenza ambaye pia ni msanii, Hamisi Mwinjuma maarufu kama Mwana FA amewapa masaa 48 viongozi wa Shirikisho la Muziki Tanzania kuleta jina l [...]
Faru Rajabu afariki
Shirika la Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA) limetoa taarifa kuhusu kifo cha Faru Rabaju aliyefariki usiku wa kuamkia leo Machi 21, 2022 akiwa na mia [...]
Pastor Myamba apata ajali
Emmanuel Myamba maarufu kama Pastor Myamba ametoa taarifa ya kupatwa na ajali mbaya yeye pamoja na familia yake wakati wakielekea kwenye ibada.
Ame [...]
Kanye West afutwa Grammy 2022
Rapa kutoka nchi Marekani Ye au Kanye West amefutwa kwenye orodha ya wasanii wanaotarajia kutumbuiza kwenye Tuzo za Grammy 2022 kutokana na matendo ya [...]