Category: Burudani
Kaoneka: aliyepigwa anakuwa tajiri, mimi najisikiaje?
Mwanamasumbwi Shabani Kaoneka amesikitishwa na kitendo cha Karim Mandonga kupewa nafasi kubwa kwenye vyombo vya habari na kupata madili ya matangazo m [...]
Kizz Daniel atolewa Polisi na Harmonize
Hatimaye mwimbaji wa muziki kutoka Nigeria, Kizz Daniel ametolewa katika kituo cha Polisi cha Oysterbay jijini Dar es salaam alipokuwa amewekwa rumand [...]
Alilipwa hela kamili
Mapromota wa tamasha alilopaswa kutumbuiza msanii Kizz Daniel, Big Step Consultancy wamesema walimlipa mwanamuziki huyo hela kamili licha ya kugoma ku [...]
Kizz Daniel akamatwa
Staa wa muziki kutoka Nigeria @kizzdaniel amekamatwa na Polisi nchini Tanzania baada ya kugoma kutumbuiza kwenye Show licha ya kulipwa pesa nyingi.
[...]
Waomba radhi kutoonekana kwa Kizz Daniel
Kampuni ya inayohusika na uandaaji wa matamasha ya Str8up Vibes imeomba radhi kwa mashabiki baada ya msanii kutoka nchi Nigeria, Kizz Daniel kushindwa [...]
Show ya Kizz Daniel Tanzania yaingia doa
Usiku wa kuamkia leo August 8,2022 Jiji Dar es Salaam kumefanyika show ya SummerApplified ambapo msanii wa muziki kutokea nchini Nigeria Kizz daniel [...]
Simba SC wapo tayari kwa ajili ya Sensa
Wachezaji wa Klabu ya Simba SC leo wakiwa katika maandalizi ya mwisho kuelekea tamasha kubwa la SIMBA DAY ambapo wanatarajiwa kucheza dhidi ya Mabingw [...]
‘Long Distance’ yawashinda, waamua kuachana
Kwa mujibu wa tovuti ya ENews imeandika kwamba mahusiano ya mwanamitindo Kim Kardashian na Pete Davidson yamefika tamati baada ya kudumu kwa miezi 9
[...]
Mange Kimambi afutiwa akaunti
Account ya mange Kimambi iliyokuwa na wafuasi zaidi ya Million 6 imefutwa na Instagram kutokana na Kuvunja sheria za Instagram.
Kupitia akaunti yak [...]
Harmonize na Kajala wafikishwa kileleni na mashabaki
Hii ni ishara kwamba mashabiki wa Harmonize wanakubali sana kazi zake na ndio maana kwa hiari yao wakaamua kupanda na picha ya msanii huyo akiwa na mp [...]