Category: Elimu
Wanaume: fahamu M3 hizi
Kwa mwanaume yoyote yule ambaye yupo kwenye mahusiano au ana mpango wakuanzisha mahusiano basi ni lazima akawa anazifahamu vyema M3 ambazo zitamsaidia [...]
Athari 3 za matango
Matango ni moja wapo ya matunda yanayopendwa sana na hutumika kama kinga ya mwili na kwenye urembo wasichana hupaka usoni ili kuwa na ngozi nyororo na [...]
Miaka 5 jela kwa kutumia mualama uliokosewa
Maskini akipata, matako hulia mbwata ndio msemo unaoweza kufananishwa na kile alichofanya Sibongile Mani, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Walter Sisulu ( [...]
Njombe wamshukuru Rais Samia
Halmashauri ya Njombe mji ni miongoni wa Halmashauri ilionufaika na fedha za mpango wa ustawi na mapambano dhidi ya UVIKO-19.
Miongoni mwa shule zi [...]
Utafiti: Nusu ya mimba duniani hazikutarajiwa
Ripoti mpya ya idadi ya watu inaeleza kuwa karibu nusu ya mimba zinazotungwa kila mwaka duniani zinakuwa siyo za kutarajiwa ambapo husababishwa na uko [...]
Fahamu njia ya uzazi wa mpango kwa kugandisha mayai
Moja kati ya hofu ya wanawake wengi ni kuchelewa kupata mtoto kwa kuhofia mtoto kukosa virutubisho vya muhimu kwenye ukuaji lakini pia mayai kuzeeka i [...]
Njia 7 za kuishi na jirani mwenye gubu
Mbali na kuangalia kama mwenye nyumba anaishi eneo hilo hilo unalopanga jambo lingine la muhimu kuzingatia ni aina za majirani wanaokuzunguka.
Kuna [...]
Fahamu mambo haya 3 kabla hujamvisha pete
Kumvesha pete mwanamke unayempenda na kujua kwamba atakufaa katika safari yako ya maisha sio jambo baya bali kuna vitu unapaswa kuzingatia kabla ya ku [...]
Usipake vitu hivi usoni
Kwenye karne hii ambayo teknolojia imekua na watumiaji pia wamekua wengi, watu hupenda kujifunza vitu mbalimbali kupitia mitandao hasa Youtube ambapo [...]
Msichana: Epuka haya ukiwa mwezini
Ni kawaida kwa msichana kupata hedhi kila mwezi ambapo huambatana na mabadiliko mbalimbali ya mwili na wengi kupata maumivu makali.
Hivyo basi kuna [...]