Category: Elimu

1 26 27 28 29 30 37 280 / 361 POSTS
Marufuku kuvua kondomu wakati wa kujamiiana

Marufuku kuvua kondomu wakati wa kujamiiana

Baada ya miaka 4, Jimbo la California nchini Marekani limepitisha sheria mbili ambazo zinalenga kudhibiti makosa ya kingono ambapo sheria ya kwanza im [...]
Fahamu aina 5 za mahusiano

Fahamu aina 5 za mahusiano

Unapoanzisha mahusiano na mtu, jambo la kwanza hakikisha unajua hayo mahusiano ni ya nini na hatima yake ni nini? Kwa lugha rahisi ni kwamba unapoanzi [...]
Fahamu kuhusu sare mpya za wahudumu wa ndege Ukraine

Fahamu kuhusu sare mpya za wahudumu wa ndege Ukraine

Shirika binafsi la ndege nchini Ukraine linalojulikana kama ‘SkyUp Airlines’ linatarajia kuwa na sare mpya kwa wahudumu wake ambazo zitakua suti na ra [...]
Fahamu faida 6 za juisi ya nyanya kwa wanaume

Fahamu faida 6 za juisi ya nyanya kwa wanaume

Nyanya ni tunda/kiungo linaloliwa na kutumiwa kwa njia mbalimbali. Wengine hutumia kutengenezea kachumbari, wengine huungia mboga, wengine hupikia ros [...]
Watumiaji wa Instagram na Facebook waendelea kupata changamoto

Watumiaji wa Instagram na Facebook waendelea kupata changamoto

Kampuni ya Facebook imesema kuwa imepokea malalamiko toka kwa watumiaji zaidi ya 30,000 wakidai kuendelea kukosa huduma ya mtandao wa Facebook pamoja [...]
Zingatia haya kabla ya kununua akaunti ya Twitter

Zingatia haya kabla ya kununua akaunti ya Twitter

Biashara ya kuuza na kununua akaunti za mitandao inazidi kukua siku baada ya siku. Moja kati ya ‘akaunti’ zilizo katika uhitaji (demand) mkubwa kwa sa [...]
Zijue sababu 3 kwanini utumie maji ya Malimao kwenye sura yako

Zijue sababu 3 kwanini utumie maji ya Malimao kwenye sura yako

Limao ni tunda jamii ya Chungwa ambalo hutumika sana kama kiungo kwenye chakula. Licha ya matumizi ya limao katika maisha yetu ya kila siku, lakini ba [...]
Leo katika historia: Shirika la posta duniani lilianzishwa

Leo katika historia: Shirika la posta duniani lilianzishwa

Leo, tarehe 9 Oktoba ni Siku ya Kimataifa ya Shirika la Posta duniani. Posta ndio chombo cha kale zaidi na kikubwa cha mawasiliano baina ya watu wa nc [...]
Njia 7 rahisi za kukuza akaunti yako ya Twitter kutoka ‘follower’ 0-1000 ndani ya mwezi mmoja

Njia 7 rahisi za kukuza akaunti yako ya Twitter kutoka ‘follower’ 0-1000 ndani ya mwezi mmoja

Sote tu mashahidi kuwa Twitter ni moja kati ya mtandao wa kijamii ambao ni ngumu sana kupata wafuasi ukilinganisha na mitandao mingine. Mkufunzi na mt [...]
Zijue njia 7 za kuzuia kunyonyoka nywele kwa wanaume

Zijue njia 7 za kuzuia kunyonyoka nywele kwa wanaume

Tatizo la kunyonyoka nywele ni tatizo linalowakumba wanaume wengi duniani. Takwimu zinaonesha kwamba tatizo hili huathiri theluthi moja ya watu dunian [...]
1 26 27 28 29 30 37 280 / 361 POSTS
error: Content is protected !!