Category: Kimataifa
Risasi za AK47 zakamatwa ndani ya gari
Polisi nchini Kenya wamekamata gari lililotelekezwa kando ya barabara, karibu na kituo cha mafuta katika eneo la Mihango, kaunti ya Nairobi likiwa na [...]
Hizi hapa sifa 13 za iPhone 13
- Ina umbo jembamba ambalo utafiti unaonesha watu wengi wanapenda simu nyembemba kwa sasa.
- Kioo chake kina teknolojia mpya aina ya ‘Cer [...]
Sudan kuingia mkataba wa kijeshi na Urusi
Balozi mdogo wa Sudan nchini Urusi ameashiria baadhi ya marekebisho katika makubaliano ya kijeshi kati ya nchi yake na Russia.
Anwar Ahmed Anwar, b [...]
Utalipwa Milioni 3 kutazama filamu za kutisha
Inaonekana kuwa kazi ngumu na ya kutisha, lakini ni njia rahisi pia kuingiza fedha.
Kampuni ya FinanceBuzz huko nchini Marekani inatafuta mtu ambay [...]
Wanasiasa wapigwa marufuku kuongea makanisani
Askofu wa Mkuu wa Kanisa la Kianglikana nchini Kenya Jackson Ole Sapit amepiga marufuku wanasiasa kuongea katika madhabahu ya kanisa hilo kote nchini [...]
Tanzania yarejesha magari 20 yaliyoibwa Kenya
Mkuu wa Wilaya ya Loitokitok nchini Kenya, Wesley Koech ameishukuru na kuipongeza serikali ya Tanzania kufanikisha kukamata na kurejesha magari 20 na [...]
Matukio 10 makubwa zaidi ya kigaidi duniani
Katika kuadhimisha tukio la Septemba 11, 2001 lilitokea nchini Marekani miaka 20 iliyopita na kusababisha vifo takribani 3000, ni vyema tuka [...]
Sababu ya Marekani kumzika Osama Bin Laden chini ya bahari.
Mei 2, 2011 kikosi maalumu cha Jeshi la Marekani kilimuua Osama Bin Laden, kinara nyuma ya mashambulizi ya tukio la Septemba 11 katika ardhi ya Mareka [...]
Kampuni 5 bora za Smartphone duniani
1. SamsungSamsung ni kampuni ya kielektroniki ya kimataifa yenye makao yake Korea Kusini ambayo pia ni kampuni kubwa zaidi ulimwenguni ya utengeneza [...]
Guinea yatolewa ECOWAS baada ya mapinduzi
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imeitenga nchi ya Guinea baada ya mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika ndani ya taifa hilo.
[...]