Category: Kitaifa
Serikali yaweka neno matukio ya mauaji
Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum chini ya waziri Dk. Doroth Gwajima, imezitaka kamati za kupinga ukat [...]
Hii hapa Sababu daraja la Tanzanite kutumika bure
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ametoa sababu ya kwanini daraja jipya la Tanzanite linatumika bure huku lile la Kigamboni watumia [...]
Vipaumbele vya Zuhura Yunus baada ya uteuzi
Aliyewahi kuwa mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), Zuhura Yunus ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu ame [...]
Rais Samia: Wanafunzi wapewe ujuzi mpya
Rais Samia amewaagiza mawaziri wanaosimamia Wizara ya Habari na Teknolojia ya Mawasiliano na ile ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuweka mipango ya kuw [...]
Mtoto auawa na kutolewa sehemu za siri
Mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Tutuo, wilayani Sokonge , Mkoa wa Tabora, Maria Ngassa(13) ameuawa kikatili wakati akienda kisimani [...]
Ahueni kushuka kwa bei ya petroli na mafuta ya taa
Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za Nishati na Maji nchini (EWURA), imetangaza kushuka kwa bei ya petroli na mafuta ya taa huku bei ya dizeli ikiongezeka [...]
Vituo shinikizi vyaleta neema Lindi
Wananchi wa halmashauri za Lindi na Mtama, wamesema uamuzi wa Serikali wa kujenga shule shikizi katika maeneo yao umekuwa na manufaa kwa sababu imewao [...]
Hii hapa siri ya ushindi wa Tulia
Historia imeandikwa tena nchini Tanzania kwa namna ambavyo Dkt. Tulia Ackson ameibuka mshindi wa nafasi ya spika kwa kupata kura 376 sawa na 100% ya k [...]
Mama azaa watoto wanaobadilika jinsia
Mama mmoja kutoka Bukoba mwenye umri wa miaka 43, jina lake limehifadhiwa amekumbwa na sintofahamu baada ya watoto wake watatu aliowazaa kuwa na jins [...]
Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi kujinyonga kwa askari mahabusu
Baada ya kuwepo kwa maneno ya sintofahamu kuhusu tukio la kujinyonga hadi kufa kwa Msaidizi Mkaguzi wa Jeshi la Polisi Grayson Mahembe, Jeshi hilo la [...]