Category: Kitaifa
Wakurugenzi dhaifu kupelekwa kwa Rais Samia
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Ummy Mwalimu amesema Januari mwakani atapeleka taarifa ya utendaji wa Wakurugenzi [...]
BoT yaanzisha vita na wanaotumia noti vibaya
Gavana wa Benki kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Florens Luoga ametangaza kuchukua hatua kwa watu wanaotumia vibaya noti katika shughuli za kijamii ikiw [...]
UDOM Yafunguka tuhuma za rushwa ya ngono zinazomkabili mtumishi wake
Kufuatia kuzagaa katika mitandao taarifa ya “Mwalimu” wa UDOM kutoka kimapenzi na mwanafunzi wake, soma hapa taarifa iliyotolewa na Chuo Kikuu cha Dod [...]
Wito wa Rais Samia kwa Majaji na Mahakimu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Majaji na Mahakimu wote kutumia kitabu kipya cha ‘Tanzania Gender Bench B [...]
Ifahamu mikoa 14 nchini hatarini kupata ukame
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), Dk. Agnes Kijazi amesema utabiriki unaonesha mikoa 14 nchini ambayo ni Mtwara, Lindi, Dodoma, [...]
Kauli ya Waziri Mkuu dhidi ya Chanjo Uviko-19
Katika kuhakikisha wannachi wanapata chanjo ya Uviko-19, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watu kwenda kupata chanjo hiyo kwani badhi ya nc [...]
Soma hapa ushahidi mpiga picha wa Sabaya kwenye kesi ya kina Mbowe
Kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na wenzake watatu imeendelea leo katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na [...]
Majaliwa akataa gharama za Ujenzi kituo cha Afya
Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa amesema hajaridhiswhwa na gharama za upanuzi wa kituo cha afya Naipanga kilichopo Wilayani Nachingwea Mkoani Lindi kwa kus [...]
Waliovujisha mitihani ya uuguzi kukiona
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amewataka watanzania kuwa na subira wakati uchunguzi ukiendelea kuhusu [...]
Agizo la mahakama kwa aliyesambaza picha za ngono WhatsApp
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa hati ya kumkamata Faraji Omary mwenye umri wa miaka 26 kwa kutotokea mahakamani bila kutoa taarifa.
Faraji a [...]