Category: Kitaifa
Maelekezo ya Waziri Mkuu kwa vijana wanaotumia mitandao ya kijamii
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasihi vijana nchini kutotumia mitandao ya kijamii kwa mambo ya kiuhalifu badala yake watumie mitandao hiyo katika kuku [...]
Serikali kuajiri wahandisi 260
Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa ameeleza serikali imetoa kibali cha kuajiri wahandi [...]
Ujumbe uliotumwa na wafungwa waliohukumiwa kunyongwa kwenda kwa Rais Samia
Wafungwa waliopo gereza la Uyui mkoani Tabora wametuma salamu kwa Rais Samia Suluhu Hassan kupitia risala iliyosomwa na mfungwa kiongozi, Masali Mis [...]
Bodaboda walalamika kuchapwa bakora na polisi
Madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda wamemlalamikia Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere kuwa polisi wamekuwa wakiwachapa bakora bila kuj [...]
Shuhuda aelezea Ofisa Mtendaji wa Kata alivyouawa ofisini Dar es Salaam
Ziana Mohammed, shuhuda wa mauaji ya Ofisa Mtendaji wa Kata ya Mbezi Msumi, Wilaya ya Ubungo mkoani Dar es Salaam, Kelvin Mowo, amesema alienda ofisi [...]
Mgawanyo wa fedha za IMF kaa la moto kwa wakuu wa mikoa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala Mikoa na Serikali ya Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu ameanisha mgawo wa fedha Sh bilioni 535.6 kati ya Sh trilioni [...]
IGP Sirro ahamisha Makamanda wa mikoa watatu
Taarifa kutoka Jeshi la Polisi imeeleza kuwa Mkuu wa Jeshi hilo nchini, IGP Simon Sirro tarehe 4/10/2021 alifanya mabadiliko ya Makamanda watatu kwa [...]
Waumini wamkataa Mchungaji aliyeiba Mke wa Mzee wa Kanisa
Mchungaji wa Ushirika mmoja wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri mkoani Morogoro analalamikiwa kwa tuhuma za kuchukua mke wa aliyekuwa Mzee wa Kanisa hi [...]
TCU yaongeza muda wa udahili
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, Profesa Charles Kihampa ameeleza kuwa nyongeza ya muda wa udahili kuanzia Ijumaa hii imekuja baada ya [...]
Taarifa ya ACT Wazalendo kuhusu kauli ya Bernard Membe
Siku chache baada ya aliyekuwa mgombea Urais wa Tanzania mwaka 2020 kupitia chama cha ACT Wazalendo, Bernard Membe kusema kuwa anaunga mkono utendaji [...]