Category: Kitaifa

1 165 166 167 168 169 182 1670 / 1811 POSTS
Jafo apiga marufuku plastiki laini kwenye vifuniko vya chupa

Jafo apiga marufuku plastiki laini kwenye vifuniko vya chupa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais ( Muungano na Mazingira), Selemani Jafo amepiga marufuku uingizaji, uzalishaji, usambazaji na matumizi ya  vif [...]
CHADEMA yatoa masharti kushiriki kikao na Msajili wa Vyama vya Siasa

CHADEMA yatoa masharti kushiriki kikao na Msajili wa Vyama vya Siasa

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Benson Kigaila amesema kwamba kabla ya kushiriki kikao chochote wanataka zuio ambalo linafanyw [...]
Rais Samia: Sina kabila katika utendaji

Rais Samia: Sina kabila katika utendaji

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wapya aliowaapisha leo kuacha ukabila katika utendaji wao wa kazi na kusisitiz [...]
Soma hapa maagizo 7 yaliyotolewa na Rais Samia leo

Soma hapa maagizo 7 yaliyotolewa na Rais Samia leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezindua kampeni ya Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19. Katika hotuba yak [...]
Rais Samia atunukiwa Tuzo Bodi ya Utalii Afrika

Rais Samia atunukiwa Tuzo Bodi ya Utalii Afrika

Bodi ya Utalii Afrika (ATB), imemtunuku Rais Samia Suluhu Hassan tuzo ya Utalii kwa kutambua juhudi zake za kukuza sekta hiyo nchini. Tuzo hiyo ilitol [...]
Serikali yasitisha mfumo mpya wa ukusanyaji ada za maegesho

Serikali yasitisha mfumo mpya wa ukusanyaji ada za maegesho

Kutokana na malalamiko ya wananchi kuhusu changamoto zinazojitokeza wakati wa ukusanyaji wa ada za maegesho ya magari kwa kutumia mfumo wa kielektroni [...]
Polepole apoteza uenyekiti kamati ya Bunge

Polepole apoteza uenyekiti kamati ya Bunge

Spika wa Bunge Mhe. Job Y. Ndugai (Mb), amefanya mabadiliko madogo ya Wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge kwa kuzingatia matakwa ya Kanuni ya 135 (3) [...]
Kilichomponza Dkt. Philemon Sengati, mkuu wa Mkoa wa Shinyanga aliyetumbuliwa

Kilichomponza Dkt. Philemon Sengati, mkuu wa Mkoa wa Shinyanga aliyetumbuliwa

Dkt. Philemon Sengati aliteuliwa kuwa mkuu wa Mkoa wa Shinyanga na Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 15 Mei 2021. Kabla ya hapo amewahi kuwa Mkuu wa mko [...]
Tafakuri: Kwanini ndege zimepokelewa Zanzibar?

Tafakuri: Kwanini ndege zimepokelewa Zanzibar?

Kufufua Shirika la Ndege Tanzania ilikuwa ni moja ya ndoto ya Rais wa awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Wakati wa uhai wake, Tanzania ili [...]
Rais Samia ateua na kutengua

Rais Samia ateua na kutengua

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo tarehe 8 Oktoba amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi kadhaa kama ifuatavyo. Rais [...]
1 165 166 167 168 169 182 1670 / 1811 POSTS
error: Content is protected !!