Category: Makala
TCU, UTUMISHI MBADILIKE
Hivi karibuni Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Utumishi wa Umma na Utawala Bora), Jenista Mhagama ametangaza kuwa zaidi ya nafasi za ajira takribani 40,0 [...]
Utafiti: Nusu ya mimba duniani hazikutarajiwa
Ripoti mpya ya idadi ya watu inaeleza kuwa karibu nusu ya mimba zinazotungwa kila mwaka duniani zinakuwa siyo za kutarajiwa ambapo husababishwa na uko [...]
Historia imeandikwa Kituo cha Afya Masasi
Kwa muda mrefu wananchi wa wilaya ya Masasi kata ya Chikundi wamekuwa wakiishi na changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma za afya katika maeneo ya k [...]
Mambo yaliyompa Rais Samia nguvu ya kuongoza nchi baada ya kifo cha JPM
Leo ni mwaka mmoja tangu Taifa limpoteze aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Magufuli kwa ghafla akiwa madarakani hapo Machi 17, 2021, jan [...]
Jinsi ya kutengeneza jamu ya machungwa
Utengenezaji wa jamu si mgumu sana kama ambavyo wengi hudhani. Unaweza kutengeneza jamu kwa kutumia vifaa ulivyonavyo jikoni kwako.
Jamu ya machung [...]
Mfahamu John Okello aliyeshiriki Mapinduzi ya Zanzibar
John Gideon Okello ni raia wa Uganda aliyeshiriki katika Mapinduzi yaliyoitoa Zanzibar kutoka kwenye minyororo ya utawala wa Waarabu.
Alizaliwa mw [...]
Maspika wa Bunge waliowahi kujiuzulu Afrika
Spika wa Bunge katika nchi yoyote ni kati ya viongozi wa juu, wanaoongoza mhimili muhimu sana katika nchi. Sio jambo la kawaida sana kusikia mtu anaji [...]
Ukitaka uzuri lazima udhurike
Sio jambo la kushangaza katika miji mikubwa kama Dar es Salaam kuona vijana wakiwa wamebeba vikapu vyenye nyenzo za kutengenezea kucha na kuzunguka na [...]
Ziwa Victoria: Moyo wa Afrika
Ni ziwa ambalo limebahatika kuwa kwenye mstari wa ikweta na limezungukwa na nchi tatu za Afrika Mashariki: Tanzania, Kenya na Uganda pia ni moja ya ma [...]
Sababu 5 zinazoweza kupelekea jengo la ghorofa kuporomoka
Baada ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa lilikokuwa likijengwa katika eneo la Goba kwa Awadhi jijini Dar es Salaam na kusababisha vifo na majeru [...]