Category: Michezo

1 12 13 14 15 140 / 149 POSTS
Simulizi ya maisha ya Zacharia Hans Poppe (kufungwa gerezani hadi kiongozi wa Simba)

Simulizi ya maisha ya Zacharia Hans Poppe (kufungwa gerezani hadi kiongozi wa Simba)

  Zacharia Hanspope amelazwa kwenye nyumba yake ya milele kijijini kwao Kihesa Iringa, ambapo baba yake mzazi pia alizikwa miaka 42 iliyopita. [...]
Tanzania yapanda nafasi 3 viwango vya FIFA

Tanzania yapanda nafasi 3 viwango vya FIFA

Tanzania imepanda kwa nafasi tatu katika viwango vya ubora wa soka vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kwa mwezi Septemba Kwa mujibu wa [...]
Tetesi za soka Ulaya Septemba 16 (Lewandowski, Fernandes, Rudiger, Kounde, Wilshere)

Tetesi za soka Ulaya Septemba 16 (Lewandowski, Fernandes, Rudiger, Kounde, Wilshere)

Liverpool imejitokeza kama mojawapo ya klabu ambazo zinamnyatia mshambuliaji wa Bayern Munich na Poland Robert Lewandowski, 33 anatarajiwa kuondoka Ba [...]
Tetesi za soka ulaya.

Tetesi za soka ulaya.

POGBA KUONGEZA MKATABA KIUNGO wa kati wa Ufaransa, Paul Pogba mwenye umri wa miaka 28, ambaye amehusishwa na uhamisho wa kujiunga na PSG na Real Madr [...]
Biashara United kibaruani leo nchini Djibouti

Biashara United kibaruani leo nchini Djibouti

Timu ya Biashara United leo itashuka dimbani kuvaana na Dikhil FC ya Dijibouti, katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika, mchezo utakaochezwa [...]
Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel aeleza anapokosea Arteta

Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel aeleza anapokosea Arteta

'Kila uwezo unapoongezeka, ndio majukumu huwa makubwa zaidi,' ndicho hasa kinachomsibu Arteta Arsenal. Ikumbumkwe kuwa Arteta ametoka kuwa mwalimu msa [...]
Manara; Nilisema uongo, niko tayari kwenda gerezani

Manara; Nilisema uongo, niko tayari kwenda gerezani

Msemaji wa timu ya soka ya Yanga, Haji Sunday Manara amesema yeye hakuwahi kuwa (shabiki) wa Simba. Amesema amekuwa Yanga katika maisha yake yote. [...]
Yanga kuwakosa nyota wake watatu kwenye michuano ya kimataifa

Yanga kuwakosa nyota wake watatu kwenye michuano ya kimataifa

  Klabu ya Yanga imethibitisha kwamba itawakosa nyota wake watatu kwenye mchezo wake wa kwanza wa Klabu Bingwa dhidi ya Rivers United kutoka n [...]
 Mambo 10 usiyoyajua kuhusu mchezo wa Boxing

 Mambo 10 usiyoyajua kuhusu mchezo wa Boxing

1. Mchezo wa masumbwi (Boxing) ulianza Ugiriki mwaka 688 kabla ya kuzaliwa Kristo na ulikuwepo kwenye mashindano ya Olimpiki ya mwaka huo. 2. Jina [...]
Vilabu 10 vya England vyenye jezi kali zaidi 2021/22

Vilabu 10 vya England vyenye jezi kali zaidi 2021/22

Timu za Ligi Kuu ya England tayari zimezindua jezi ambazo zitatumika kwa msimu wa mwaka 2021/22. Kila moja imezindua jezi ambazo zimebuniwa kwa kubeba [...]
1 12 13 14 15 140 / 149 POSTS
error: Content is protected !!