Category: Michezo
Shabiki wa Simba afariki kisa Mayele
Mkoani Singida shabiki wa timu ya Simba amefariki dunia baada ya kuzimia kufuatia shuti la mchezaji wa Yanga, Fiston Mayele lililokosakosa goli kwenye [...]
Mo Salah aibuka mchezaji bora
Mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah amechaguliwa kuwa Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa Soka kwa 2021/22.
Salah, 29, amechangia [...]
Kajala achorewa tattoo
Shabiki mmoja wa mwanamuziki Harmonize ameamua kuingilia kati jitihada za mwanamuziki huyo za kurudiana na 'ex' wake Kajala Masanja.
Shabiki huyo a [...]
Ronaldo afiwa na mtoto
Bingwa wa dunia wa mpira wa miguu na mchezaji wa timu ya Manchester United, Christiano Ronaldo 'CR7' na mpenzi wake Georgina Rodriguez wamepoteza mtot [...]
SIMBA SC: Tunaomba Ulinzi
Klabu ya soka ya Simba imetoa taarifa kusikitishwa na kile wanachodai kuwa ni shutuma zilizotolewa na Kocha Msaidizi wa timu ya Orlando Pirates Mandla [...]
Mtanzania ‘Geay’ aweka rekodi Boston Marathon
Mwanariadha Gabriel Geay, anayeiwakilisha vyema Tanzania katika mashindano ya mbio kitaifa ameshika nafasi ya nne katika mbio za Boston Marathon ziliz [...]
Eric ten Hag kuinoa Man U
Klabu ya mpira ya Uingereza, Manchester United imefikia makubaliano na Erik ten Hag kuwa meneja wao wa kudumu mapema leo Aprili 13, 2022.
Makubalian [...]
Wezi wamuibia Pogba
Wezi wamemuibia kiungo wa Manchester United, Paul Pogba medali yake ya ushindi wa Kombe la Dunia baada ya kuvunja na kuingia nyumbani kwake na kuiba w [...]
Diamond:Nina mtoto Mwanza
Msanii na mmiliki wa lebo ya Wasafi Naseeb Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz, amekiri kuwa mtoto mwingine jijini Mwanza ukiachilia mbali wato [...]
BASATA: hawakuomba kushiriki
Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limetoa ufafanuzi wa kwanini wasanii kutoka lebo ya Wasafi inayomilikiwa na Diamond Platumz kutoonekana kwenye kipen [...]