Category: Michezo

1 5 6 7 8 9 15 70 / 149 POSTS
Poland yatwaa taji Miss World

Poland yatwaa taji Miss World

Miss Polonia (Poland) 2019, Karolina Bielawska, ameibuka mshindi wa mashindani Miss World 2021yaliyofanyika usiku wa kuamkia leo huko Puerto Rico. [...]
Mike Tyson na Bangi za pipi

Mike Tyson na Bangi za pipi

Mwanamasumbwi kutoka nchini Marekani Mike Tyson amezindua aina mpya za bangi za pipi ambazo zipo kwenye umbo la sikio la binadamu alizozipa jina la 'M [...]
Mayele ampa mtoto bao

Mayele ampa mtoto bao

Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Fiston Mayele amesema bao alilofunga kwenye mechi ya Ligi Kuu juzi kati ya timu yake na Geita Gold amempa zawadi mtoto [...]
Mohammed Aboutrika aishukia vikali FIFA juu ya mgogoro wa Ukraine

Mohammed Aboutrika aishukia vikali FIFA juu ya mgogoro wa Ukraine

Mkongwe wa timu ya taifa ya Misri Mohamed Aboutrika amelishukia vikali Shirika la Mpira wa Miguu duniani (FIFA) kwa kuitoa nchi ya Urusi kushiriki kat [...]
Simon Msuva akutwa na Korona

Simon Msuva akutwa na Korona

Timu ya Wydad Casablanca ya Morocco itamkosa nyota wake Simon Msuva wakati mtanange dhidi ya Shabab Al-Sawalem siku Ijumaa katika dimba la Ahmed Shouk [...]
Nchimbi akubali yaishe, ajiengua Yanga

Nchimbi akubali yaishe, ajiengua Yanga

Wakati kikosi cha wana Jangwani Yanga kilikuwa visiwani Zanzibar kikiendelea na maandalizi ya Ligi, mshambuliaji wao Ditram Nchimbi amejiondoa mwenyew [...]
Mourinho avuna mkwanja mrefu kwa kufutwa kazi

Mourinho avuna mkwanja mrefu kwa kufutwa kazi

Kufukuzwa kazi kunaweza kukawa ni kilio kwa mwingine, lakini kwake Jose Mourinho 'The Specila One' ni furaha, nderemo na vifijo. Inaripotiwa kuwa Mour [...]
Sifa 5 za kocha ambaye Simba inamuhitaji

Sifa 5 za kocha ambaye Simba inamuhitaji

Mabingwa wa soka Tanzania Simba, wanatarajia kumtangaza kocha wao mpya siku yoyote kuanzia Jumatatu Novemba 8,2021. Baada ya kuachana na Mfaransa D [...]
Uchambuzi wa kina kuhusu ubora na udhaifu wa Yanga

Uchambuzi wa kina kuhusu ubora na udhaifu wa Yanga

Timu ya soka ya Yanga, imekuwa na mwenendo mzuri katika msimu huu. Baada ya kuwafunga wapinzani wao Simba kwenye mchezo wa ngao ya jamii, Yanga imeend [...]
1 5 6 7 8 9 15 70 / 149 POSTS
error: Content is protected !!