Tag: Bunge la Tanzania
Mapendekezo 4 ya Bunge kumaliza sakata la Machinga
Kutokana na zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wadogo (Machinga) katika maeneo yasiyo rasmi na kuwapeleka katika maeneo waliyopangiwa, Bunge la Jamhur [...]
Mfahamu msanii wa kwanza kutengeneza ‘album’ na kupiga show nje ya Tanzania
Mama wa Muziki, Mama wa Muziki wa Taarab. Siti ni mtu wa kwanza kuimba muziki wa taarabu jukwaani kwa lugha ya kiswahili. Taarab ulikuwa muziki wa tab [...]
Huyu ndiye mwanzilishi wa chama kipya cha Umoja
Imebaki miaka minne kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 nchini Tanzania. Chama kipya cha siasa kilijulikano kama Umoja Party (UP) kimeibuka kuomba us [...]
Squid Game kufungiwa Kenya
Afisa Mkuu Mtendaji wa Bodi ya Uainishaji nchini Kenya (KFCB), Christopher Wambula amewashauri wazazi kuwa waangalifu na kufuatilia video ambazo watot [...]
Fahamu: Kujifungua kwa upasuaji duniani kulianzia Tanzania
Wakunga kutoka Tanganyika (Tanzania ya sasa) mwa Ziwa Victoria walishabobea kuzalisha kwa upasuaji miaka takribani 100 hata kabla sayansi ya sasa kugu [...]
Machinga Dar es Salaam wakumbushwa bado siku 1 tu
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amesema kuwa ifikapo siku ya kesho ndio mwisho kwa wanaofanya biashara kwenye maeneo yaliyokatazwa kut [...]
Fahamu vyakula aina 7 hatarishi kwa malezi ya mtoto wa umri chini ya mwaka 1
Katika malezi na ukuaji mtoto aliye chini ya mwaka mmoja huwa na masharti mno katika aina ya vyakula. Ni vizuri ukajua ni vyakula gani ambavyo mtoto h [...]
Tamko la familia ya Mtanzania aliyeuawa Marekani
Familia ya kijana Mtanzania Humphrey Magwira (20) aliyeuawa kwa kupigwa risasi na Ramon Vasquez (19) nchini Marekani imesema kwamba kijana wao hakusta [...]
Mambo 5 muhimu ya kufanya utokapo kwenye kazi hatarishi
Mazingira hatarishi au ambayo si salama kwa mfanyakazi yanapunguza morali ya ufanyaji kazi lakini pia yanamfanya mhusika akose kujiamini. Mazingira ya [...]
Wasira awashangaa wanaodai Katiba mpya sasa
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Bunda, mkoani Mara na Mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wasira akizungumza kwenye kipindi cha medani za siasa kinachorus [...]

