Tag: habari kubwa za michezo
Neema kwa wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2023
Serikali imesema imefungua wigo kwa wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2023 kubadili machaguo ya tahsusi ‘combinations’ ya kidato cha tano, kozi za vyuo [...]
Rais Samia : Wakuu wa Mikoa ni marais katika maeneo yenu
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wakuu wa mikoa nchini kutatua changamoto za wananchi, ikiwemo migogoro ya ardhi pamoja na kuongeza ukusanyaji wa ma [...]
“Mdogo wangu Mwinyi, simama kama mbuyu.”- Rais Samia
Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka familia ya hayati Ali Hassan Mwinyi kuendelea kuheshimiana na kushikamana na kwamba hawatafurahi kuona familia hiyo [...]
Eng. Hersi : Rais Samia anamchango mkubwa kwenye soka letu
Rais wa Timu ya mpira wa miguu ya Yanga SC , Eng. Hersi Said amesema mafanikio katika sekta ya michezo hasa mpira wa kiguu nchini yametokana na mchang [...]
Waliomuua AKA wakamatwa
Polisi wa South Africa wamethibitisha kuwakamata Washukiwa sita wa mauaji ya Rapper Kiernan Forbes maarufu AKA na kusema miongoni mwao ni ‘Mastermind’ [...]
Mpango: Tanzania inakopesheka
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amesema taasisi na mashirika makubwa duniani yameitaja Tanzania kama [...]
Rekodi yavunjwa ongezeko la watalii wa kigeni
Mapato yanayotokana na utalii yamezidi kuongezeka kutoka Dola za Kimarekani bilioni 1.3 mwaka 2021 hadi kuvunja rekodi na kufikia Dola za Kimarekani b [...]
Rais Samia awapongeza Ramadhan Brothers
Rais Samia Suluhu Hassan amewapongeza vijana wa kitanzania wanaofahamika kwa jina maarufu la Ramadhan Brothers kwa kushinda shindano la ‘America Got T [...]
Viongozi watano walioambatana nao Rais Samia Vatican
Rais Samia Suluhu Hassan ameambata na viongozi watano wa vyama vya kitume vya Kanisa Katoliki Tanzania kwenda kumwona Kiongozi wa Kanisa hilo duniani, [...]
Dkt. Mpango aeleza sababu ya kifo cha Lowassa
Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa kilichotokea leo tarehe 10 Februar [...]

