Tag: habari za kimataifa
Msimamizi wa uchaguzi Kenya atoweka
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya, Wafula Chebukati amevitaka vyombo vya usalama kusaidia kumrudisha afisa wa IEBC ambaye ali [...]
Rais Samia anavyowainua wamachinga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, amewaahidi wafanyabiashara wadogowadogo maarufu kama Machinga kuwashika mkono [...]
Baba yake Lupita ashinda uchaguzi Kenya
Mwigizaji aliyeshida tuzo ya Oscar, Lupita Nyong'o jana Agosti 11,2022 amempongeza baba yake kwa kushinda muhula wa pili na wa mwisho kama gavana wa k [...]
Pacha aliyebaki afariki
Pacha aliyesalia ‘Rehema’ kati ya mapacha wawili waliotenganishwa Julai Mosi mwaka huu, amefariki dunia jana saa 5 asubuhi Agosti 11, wakati akiendele [...]
Watu wanne wamefariki Kenya, vurugu za Uchaguzi Mkuu
Licha ya juhudi za wagombea wa viti mbalimbali nchini Kenya kulaani vurugu na kuwataka wafuasi wao kuwa watulivu wakati shughuli ya kuhesabu kura ik [...]
Wakulima kufaidika na punguzo bei ya mbolea
Wakati Serikali ikitarajia kuanza kutoa ruzuku katika pembejeo za kilimo ikiwemo mbolea, wakulima wametakia kufuata utaratibu ulioweka ikiwemo kujisaj [...]
Makabidhiano ya data za utafutaji wa mafuta na gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar
Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, tarehe 10/8/2022 ameshuhudia makabidhiano ya data za utafuta [...]
Mrithi wa Panya Magawa ni Kennedy
Baada ya Panya Magawa kufariki dunia mwanzoni mwa mwaka huu , Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), mkoani Morogoro, kimempata mrithi wake mwenye j [...]
Rais Samia ataka Kituo cha Watoto kujengwa Soko la Njombe
Uongozi wa Mkoa wa Njombe umetakiwa kuweka kituo maalumu cha kulelea watoto katika soko kuu la Njombe kwa ajili ya watoto wa wanawake wanaofanya biash [...]
Bashe: Marufuku kuwauzia madalali parachichi mbichi
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amepiga marufuku wakulima kuuza parachichi kwa madalali zikiwa hazijakomaa na kuiva.
Bashe ametoa onyo hilo jana Ag [...]