Author: Cynthia Chacha
Wanaume wa Kenya hawapendi kutumia kondomu
Mamilioni ya kondomu zinazotolewa bila malipo zinaweza kupotea kwani Wakenya hawazitumii. Hayo yamebainika wakati wa hafla ya Baraza la Kitaifa la Kud [...]
Jux azindua Rasmi duka la African Boy
Nyota wa Bongo Fleva na mfanyabiashara Juma Mussa Mkambala maarufu kama Jux, ametimiza ndoto yake ya muda mrefu kwa kufungua rasmi duka lake la nguo z [...]
Magazeti ya leo Disemba 1, 2021
Habari Za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Disemba 1, 2021. [...]
Mambo (5) ya uongo tuliyoambiwa wakati tunakua kuhusu mahusiano
Unapofikia umri wa balehe wazazi na jamii wanajaribu kukulinda dhidi ya changamoto mbalimbali za ukuaji zinazotokana na mahusiano, Katika kipindi hiki [...]
Kauli ya Jeshi la Polisi kuhusu kugeuza simu za wizi kuwa za biashara
Jeshi la Polisi nchi Tanzania leo November 30 limetoa taarifa kufuatia kuwepo kwa taarifa mbaya kuhusu jeshi hilo, Mnamo Novemba 29 mwaka huu kuna taa [...]
Tunda aahirisha kujiua
Video vixen kutoka nchini Tanzania, Mkurugenzi na mmiliki wa duka la nguo za kike la Tunda Boutiques, Tunda Sebastian amesema hatajiua kama alivyosema [...]
Upandikizaji Uboho sasa kufanyika Muhimbili
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), imeanza rasmi upasuaji na upandikizaji wa uboho( jina la kitaalam, Bone Marrow, ni ute unaopatikana ndani ya mifup [...]
Vanessa Mdee adai kutolipwa na Standard Chartered
Aliyewahi kuwa nyota wa muziki nchini Tanzania, Vanessa Mdee a.k.a Vee Money amewataka wasanii na watu maarufu nchini kuwa makini na kampuni zinazowac [...]
Rasmi kisiwa cha Barbados kuwa Jamhuri
Barbados imekuwa Jamhuri rasmi ikichukua nafasi ya Malkia wa Uingereza kama mkuu wake wa Serikali na kukata vifungo vya mwisho vya ukoloni vilivyosali [...]