Category: Burudani
Kizz Daniel azomewa Marekani
Mwanamuziki kutoka Nigeria, Kizz Daniel amejikuta akizomewa na mashabiki zake nchini Marekani baada ya kuchelewa kwenye tamasha kwa takribani masaa ma [...]
Mume wa Nicki Minaj ahukumiwa
Mume wa Nicki Minaj amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja nyumbani kwa kushindwa kujiandikisha kama mhalifu wa ngono.
Kenneth Petty alitakiwa kufahamis [...]
Burna Boy ampa Toni Braxton 60% mauzo ya ‘Last Last”
Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Burna Boy, amefunguka kuwa asilimia 60 ya mauzo ya wimbo wake unaofanya vizuri wa ‘Last Last” yatachukuliwa na m [...]
M/Kiti kamati ya harusi ya Billnas na Nandy
Msanii kutoka nchini Tanzania, Billnas anayetarajia kufungua ndoa na Faustina Mfinanga maarufu kama Nandy, ameweka wazi kwamba muigizaji Steve Nyerere [...]
Umaarufu wampeleka R Kelly jela miaka 30
Mwimbaji wa Marekani, Robert Kelly maarufu R Kelly amehukumiwa jana JUni 29,2022 kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kutumia hadhi yake ya kuwa nyot [...]
Mambo yazidi kupamba moto
Huwenda ulikua mmoja ya watu waliodhani kwamba kitendo cha Mmiliki wa lebo ya Konde Gang, Harmonize kutangaza kuhusu meneja wake mpya ni utani, basi f [...]
Harmonize kubadili dini
Tayari wawili hawa wameshavalishana pete za uchumba na kinachofuata ni ndoa ambayo haijafahamika itafungwa lini.
Frida maarufu kama Kajala ni mkris [...]
Kumbukizi ya siku ya kifo cha Michael Jackson
Siku kama ya leo Juni 25 mwaka 2009 dunia ilimpoteza nguli wa muziki wa dansi Michael Jackson aliyefariki baada ya kuzidisha kiasi cha dawa wakati aki [...]
Alikiba aahidi kumtoboa Harmonize
Alikiba amemtambia Mbwana Samatta kwa kumtaka ampange msanii Harmonize kwenye timu yake ili ampite akafunge kwenye mchezo wa Team Kiba na Team Samatta [...]
Mtanzania amtwanga Mjerumani kwa TKO
Bondia Mtanzania anayeishi nchini Sweden Awadhi Tamim amemtwanga Bondia Shkelqim Ademaj wa Ujerumani kwa TKO katika pambano la raundi 10 lililofanyika [...]