Category: Kimataifa
TikTok kuanza kutumika kwenye “Smart TV”
Mtandao wa TikTok ambao umekuwa jukwaa la elimu na burudani unaingia katika vitabu vya historia kati ya mitandao ya kijamii yenye ‘app’ ya moja kwa mo [...]
Wilder apasuka mdomo, avunjika Mkono na Kidole
Imeelezwa kuwa, Deontay Wilder, Bondia Mmarekani aliyechezea kichapo katika ardhi ya nyumbani nchini Marekani toka kwa Bondia toka Uingereza Tyson Fur [...]
Marufuku kuvua kondomu wakati wa kujamiiana
Baada ya miaka 4, Jimbo la California nchini Marekani limepitisha sheria mbili ambazo zinalenga kudhibiti makosa ya kingono ambapo sheria ya kwanza im [...]
Rais akimbia na mabegi ya fedha
Piraz Ata Sharifi aliekuwa mlinzi wa Rais wa Afghanistan amesema baada ya serikali ya nchi hiyo kupinduliwa, aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Ashraf Ghan [...]
Star wa Series ya “Empire”, Taraji sasa kuhamia kwenye muziki
Mwigizaji nyota toka nchini Marekani, Taraji Henson, ambaye amejizolea umaarufu mkubwa ulimwenguni kupitia ‘Series’ ya Power, ametangaza rasmi kuanza [...]
Fahamu kuhusu sare mpya za wahudumu wa ndege Ukraine
Shirika binafsi la ndege nchini Ukraine linalojulikana kama ‘SkyUp Airlines’ linatarajia kuwa na sare mpya kwa wahudumu wake ambazo zitakua suti na ra [...]
Rais Samia atunukiwa Tuzo Bodi ya Utalii Afrika
Bodi ya Utalii Afrika (ATB), imemtunuku Rais Samia Suluhu Hassan tuzo ya Utalii kwa kutambua juhudi zake za kukuza sekta hiyo nchini. Tuzo hiyo ilitol [...]
Youtube yafuta nyimbo 4 za Otile Brown
Jacob Odunga, maarufu kama Otilie Brown msanii kutoka Kenya amelalamika baada ya kufutwa kwa nyimbo zake 4 zenye watazamaji zaidi ya milioni 10 kwenye [...]
Watumiaji wa Instagram na Facebook waendelea kupata changamoto
Kampuni ya Facebook imesema kuwa imepokea malalamiko toka kwa watumiaji zaidi ya 30,000 wakidai kuendelea kukosa huduma ya mtandao wa Facebook pamoja [...]
Leo katika historia: Shirika la posta duniani lilianzishwa
Leo, tarehe 9 Oktoba ni Siku ya Kimataifa ya Shirika la Posta duniani. Posta ndio chombo cha kale zaidi na kikubwa cha mawasiliano baina ya watu wa nc [...]