Category: Kimataifa
Whatsapp kuja kivingine
Mtandao wa Whatsapp umesema upo kwenye majaribio ya kuweka mfumo mpya wa kusikiliza ujumbe wa sauti (voice note) ambao utamuwezesha mtumiaji kusikiliz [...]
Video ya utupu ya Tiwa Savage yavuja, mwenyewe afunguka
Akiwa kwenye kipindi cha The Angie Martinez Show mwanamuziki nyota kutoka nchini Nigeria, Tiwa Savage ameweka wazi kuhusu video ya ngono inayomuonesha [...]
Uingereza yaondoa vikwazo kwa wasafiri kutoka Tanzania
Serikali ya Uingereza kupitia Ubalozi wake Tanzania imetangaza kupunguzwa kwa vikwazo vilivyokuwa vimewekwa kwa wasafiri wote kutoka nchini Tanzania.T [...]
Ijue Tuzo ya Nobel na namna ya kushiriki
Tuzo ya Nobel ni tuzo ya heshima na ya hadhi ya juu inayotunukiwa kwa watu ambao wametoa mchango mkubwa sana katika katika kufanya uvumbuzi au kuanzis [...]
Miaka 90 ya Desmundu Tutu na kumbukizi ya Sera ya Kibaguzi Afrika Kusini
Askofu Desmond Mpilo Tutu alizaliwa Oktoba, 7 1931 katika mji wa Klerksdorp Afrika Kusini. Wazazi wake walitoka makabila ya Xhosa na Tswana na akiwa m [...]
Kikongwe wa miaka 100 mahakamani kwa makosa wakati wa vita ya pili ya Dunia
Kikongwe mwenye umri wa miaka 100 ambaye alilitumikia Jeshi la Ujerumani (SS guard) wakati wa vita ya pili ya Dunia, kesi yake itaanza kusikilizwa leo [...]
Ukiwapata watu hawa 6, unakuwa bilionea
Muda huu kuna watu wanatafutwa, ukiwakamata au kutoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwao, unaweza kuwa bilionea kutokana ahadi zilizotolewa na Serik [...]
Historia: Mtanzania ashinda Tuzo ya Nobel
Tuzo za Nobel katika Fasihi (Nobel Prize in Literature) imetolewa leo na kushuhudia Mtanzania Abdulrazak Gurnah, akishinda tuzo hiyo.
Abdulrazak Gu [...]
Baada ya miaka 10, chanjo ya kwanza ya Malaria yathibitishwa
Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vilemea aina nne: P falciparum, P Malarie, P. Ovale na P. vivax. Vimelea hivyo hubebwa na kusambazwa na mbu jike [...]
Mgogoro wa China – Taiwan wafikia pabaya
Waziri wa Ulinzi wa Taiwan Chiu Kuo-Cheng amesema kuwa hivi sasa mgogoro wa China na Taiwan umefikia hatua mbaya zaidi kuliko wakati wowote katika kip [...]