Category: Kitaifa
Mapinduzi Zanzibari: Tishio la Mabeberu, Usaliti, Kivuli cha Uzalendo na Tafsiri ya Muungano
MAPINDUZI YA ZANZIBAR: TISHIO LA MABEBERU, USALITI, KIVULI CHA UZALENDO UBARAKALA NA TAFSIRI TATA YA MUUNGANO
Ijapokuwa wanachama wa Chama cha Umma [...]
‘Wagonga wanafunzi’ wafungiwa kamera
Baada ya kuwepo kwa idadi kubwa ya wanafunzi kugongwa na magari na kupoteza maisha katika Barabara kuu ya Dodoma - Dar es Salaam, Halmashauri ya Chamw [...]
Pepsi na Coca Cola zaadimika mtaani
Baadhi ya wafanyabiashara jiji Dar es Salaam wamesema kwamba soda zinazotengenezwa na kampuni za Pepsi na Coca Cola zimeadimika kwa muda sasa tangu D [...]
Mwenyekiti CCM Shinyanga ataka bango la Ndugai ling’olewe
Mwenyekiti wa CCM Shinyanga, Khamis Mgeja amesema kwamba kitendo kilichofanywa na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Job Nd [...]
NIDA yawasihi wananchi kufuata vitambulisho vyao
Mamalaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), imewataka wale wote ambao bado hawajachukua vitambulisho vyao kwenda kwenye ofisi husika na kuchukua kwani [...]
Ajinyonga kwa kamba za viatu
Mwanaume mmoja mkazi wa Mtaa wa Rungwa kata ya Kazima Manispaa ya Mpanda, Edmond Sungura (53) amekutwa amejinyonga hadi kufa chumbani kwake kwa kutumi [...]
Bei za mafuta zashuka
Mamlaka ya Uthibiti wa Huduma za Nishati na Maji Tanzania (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta nchini.
Katika taaarifa yake iliyotolewa leo [...]
Vigezo vya mtu kuitwa mfungwa wa kisiasa. Je, Mbowe ni mfungwa wa kisiasa?
Kiongozi wa Chama cha Upinzani cha ACT Wazalendo nchini Tanzania Zitto Kabwe, amenukuliwa mara kadhaa kupita mitandao ya kijamii, akisema kwamba Mweny [...]
Temeke wakamilisha ‘madarasa ya Rais Samia’
Bilioni 3.14 zilizotolewa na serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan zimewezesha kukamilika kwa ujenzi wa vyumba vya madarasa ya sekondari 157 katika wil [...]
Majaliwa avunja ukimya kuelekea uchaguzi 2025
Waziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa amesema kuwa hana mpango wa kugombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2025 kama ambavyo [...]