Category: Kitaifa
Rais Samia atajwa miongoni mwa Wanawake 100 wenye nguvu duniani
Jarida la Forbes la nchini Marekani limemtaja Rais Samia Suluhu Hassan kuwa miongoni mwa Wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani. Huu ni msimu wa 18 ka [...]
Wanne wafariki, 17 wajeruhiwa baada ya ghorofa kudondoka Goba
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kheri James amethibitisha vifo vya watu wanne na wengine 17 kujeruhiwa baada ya kuangukiwa na ghorofa lililokuwa linajengwa [...]
Rais Samia aagiza ujenzi wa Shule za ghorofa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan, amesema ni vyema ujenzi majengo ya shule nchini ufanyikie kwa mtindo wa ghorofa ili k [...]
Mtanzania arudishwa kutoka India baada ya kugundulika na kirusi kipya cha UVIKO-19
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Profesa Abel Makubi amesema Serikali imeanza kufuatili taarifa za abiria al [...]
Rais Samia Suluhu awasha moto Mamlaka ya Bandari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mkurugenzi Mkuu wa bandari na mkurugenzi mkuu [...]
Rais Samia akaribisha wawekezaji zaidi nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasihi wawekezaji kuja na kuwekeza nchini kwakuwa serikali imeendelea kuweka mazingira [...]
Maombi ya kesi ya Makonda yaondolewa na kurudishwa Mahakamani
Maombi ya kufungua kesi dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, yaliyowekwa na mwandishi wa habari Saed Kubenea, yamesikilizwa [...]
Wabunge wa Umoja wa Ulaya waridhishwa na mwelekeo wa kiuchumi na kisiasa nchini Tanzania
Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Umoja wa Ulaya wameelezea kuridhishwa kwao na mwelekeo wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan tangu kuingia kwake madara [...]