Category: Kitaifa
Tumbaku chanzo cha magonjwa ya moyo
Prof. Mohamed Janabi ambaye ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Muhimbili (JKCI) amesema takwimu zinaonyesha kuwa watu milioni nane hup [...]
Kijana wa kazi amnyonga bosi wake na kukimbia
Kijana wa kazi za nyumbani ambaye jina lake limehifadhiwa anadaiwa kumnyonga kumuua bosi wake kwa kumnyonga kwa kamba ya katani kisha kutokomea. Tukio [...]
Machinga kupewa majengo ya NHC
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angeline Mabula ameagiza kuboreshwa kwa majengo matatu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) a [...]
Huyu ndiye mwanzilishi wa chama kipya cha Umoja
Imebaki miaka minne kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 nchini Tanzania. Chama kipya cha siasa kilijulikano kama Umoja Party (UP) kimeibuka kuomba us [...]
Ukatili kwa waandishi wa habari wapungua
Ofisa Programu Mwandamizi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Paul Malimbo amesema matukio ya waandishi wa habari kupigwa, kunyang’anywa vifaa vyao vy [...]
EWURA yatangaza bei elekezi mafuta ya Petroli
Kutokana na ongezeko la bei ya mafuta ghafi tangu mwezi mei 2020 ambapo bei imeongezeka mara mbili kutoka wastani wa dola za kimarekani 32 kwa pipa mw [...]
Ushahidi wa maboksi ya fedha kwenye kesi ya Sabaya
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, imepokea video sita zilizokuwa kwenye 'flash disk' iliyowasilishwa kama ushahidi wa upande wa Jamhuri katika [...]
Diwani ataka mabadiliko kampeni ya tohara
Diwani wa Mwankulu Manispaa ya Mpanda, Kapili Katani amelalamikia kampeni inayofanywa na watoa huduma wa tohara kwa wanaume kwa kuwataka wanawake kuwa [...]
Mwalimu Mkuu akamatwa kwa udanganyifu mtihani darasa la 4
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Shimbale, Gaudensia Anyangi(45), amekamatwa na Jeshi la Polisi Mkoani Simiyu kwa tuhuma za kufanya udanganyifu katika [...]
Rugemalira arudi Mahakamani tena
Mfanyabiashara James Rugemalira, ameanza harakati za kufungua mashtaka dhidi ya taasisi anazozituhumu kuhusika katika wizi wa trilioni 61 za Serikali [...]