Category: Kitaifa
Mbowe afikishwa makamani mbele ya jaji mpya
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu wamefikishwa katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kwa ajili ya k [...]
Jamhuri yasema uchunguzi kesi ya Rugemalira haujakamilika
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania L [...]
Serikali kuendelea kuwapima wanafunzi mimba
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omari Kipanga amesema utaratibu wa kuwapima mimba wanafunzi wanapotoka likizo unaendelea katika shule mb [...]
Serikali kubadili umri wa mtoto wa kike kuolewa
Serikali inakusudia kufanya mabadiliko ya Sheria ya Ndoa ya Tanzania ambayo kwa muda mrefu sasa imekuwa moja sheria ambazo zinakumbana na upinzani mar [...]
Uchumi wa Tanzania unaimarika
Viashiria vinavyoonesha uchumi wa Tanzania umezidi kuimarika
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetangaza mwenendo wa viashiria vya kiuchumi vya muda [...]
Maana ya vitu 7 vya kimila alivyopewa Chifu Hangaya (Rais Samia)
Rais Samia Suluhu Hassan leo ametawazwa na Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) kuwa Chifu Mkuu wa machifu wote nchini na kumpa jina la Chifu Han [...]
Wanaotaka kujenga ghorofa kuanzia Jeshi la Zimamoto
Bunge limefanya marekebisho ya sheria likiweka sharti kwa mtu yeyote anayekusudia kujenga jengo lenye urefu wa kuanzia mita 12 kutoka kwenye usawa wa [...]
Machifu; Rais Samia ni ‘nyota ang’avu’.
Leo Rais Samia Suluhu, alikuwa jijini Mwanza akihitimisha tamasha la utamaduni. Moja kati ya mambo makubwa yaliyofanyika katika tamasha hilo, ni umoja [...]
Tanzania inaweza kutengeneza chanjo ya UVIKO-19
Wataalamu wa udhibiti na ufuatiliaji wa magonjwa kupitia mbinu ya Epidemiolojia na maabara (TANFLEA) wamesema Tanzania ina uwezo wa kutengen [...]
Serikali kununua ndege 5 za mafunzo ya urubani
Serikali imesema Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kitanunuliwa ndege tano za mafunzo ya urubani kuanzia mwaka huu wa fedha.
Naibu Waziri wa Uj [...]