Category: Kitaifa
Wajue Wayahudi wa Arusha
Taifa la Israel lipo karibu na nchi za Afrika Mashariki na nchi za kiarabu kuliko hata nchi nyingi duniani.
Kwa sababu ya ukaribu huu, Wayahudi wan [...]
Madiwani wataka kondomu ziongezwe
Suala la kuadimika kwa mipira ya kiume (kondomu) limezua mjadala mkali kwenye Baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, ambapo Madiwani [...]
Serikali yasema itaendelea kupunguza tozo
Waziri wa Fedha na Mipango amesema kuwa huko mbeleni wakati sekta ya elimu imeimarika, serikali itapitia tena tozo zinazokatwa ili kuboresha sekta hiy [...]
Uamuzi pingamizi la Mbowe kutolewa leo
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu leo Septemba Mosi, 2021 wamefikishwa katika Makahama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhuju [...]
Naomba radhi : Spika Ndugai
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewaomba radhi Wakristo na Watanzania wote kufuatia kauli aliyoitoa Bungeni leo.
Kat [...]
Hatma ya pingamizi la Mbowe Septemba Mosi
Makama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumi Uchumi kesho Septemba 1, 2021 itaamua pingamizi la Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake [...]
Wasemayo wananchi sakata la Gwajima na Silaa
Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima ameadhibiwa na Bunge baada ya kukutwa na hatia ya kulidharau na kuhususha hadhi ya Bunge. Askofu Gwajima ameta [...]
Askofu Gwajima, Jerry Silaa waadhibiwa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia azimio la Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, kuwasimamisha kudhuria mikutano miwili wab [...]
Kipindi anachorekodi Rais Samia Suluhu
Taarifa iliyotolewa na Ikulu leo Agosti 29 2021, inaeleza kwamba Rais Samia Suluhu ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'Royal Tour' kwa lengo la kuit [...]
Rais Samia: Utandawazi usiharibu utamaduni wetu
Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka jamii nchini kulinda na kuendeleza mila, tamaduni na desturi zilizo nzuri na kuwarithisha vizazi vya sasa na v [...]