Category: Kitaifa

1 60 61 62 63 64 184 620 / 1831 POSTS
Serikali yatangaza mgawo wa maji Dar na Pwani

Serikali yatangaza mgawo wa maji Dar na Pwani

Serikali imetangaza mgawo wa maji kwa wakazi wa Dar es Salaam na Pwani kwa sababu za kupungua kwa vyanzo vya maji vya Mto Ruvu Juu na Ruvu Chini. B [...]
Mabehewa ya SGR yamkosha Waziri Majaliwa

Mabehewa ya SGR yamkosha Waziri Majaliwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema ameridhishwa na kasi ya utengenezwaji wa mabehewa mapya kwa ajili Reli ya Kisasa (SGR) ya Shirika la Reli Tanzan [...]
Serikali imeifungia Shule ya Chalinze Modern Islamic

Serikali imeifungia Shule ya Chalinze Modern Islamic

Serikali imeifungia Shule ya Awali an Sekondari ya Chalinze Modern Islamic kuwa kituo cha mitihani kwa muda usiojulikana kwa mujibu wa kifungu cha 4 ( [...]
Kweli walibadilishiwa namba za mtihani

Kweli walibadilishiwa namba za mtihani

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa baraza la Mitihani limejiridhisha kwamba watahiniwa katika shule ya Chalinze Mo [...]
Watumiaji wa intaneti waongezeka kwa 6.7%

Watumiaji wa intaneti waongezeka kwa 6.7%

Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeonyesha laini za simu zinazotumiwa na watu kwa ajili ya mawasiliano zimefikia milioni 58.1 Septemb [...]
Tanzania, DRC kuinua uchumi kwa pamoja

Tanzania, DRC kuinua uchumi kwa pamoja

Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) zimekubaliana kushirikiana kujenga miundombinu ya reli ya kisasa na barabara ili kuimarisha biashar [...]
Waziri Mkuu aenda Korea Kusini ziara ya siku tatu

Waziri Mkuu aenda Korea Kusini ziara ya siku tatu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameondoka nchini kwenda Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu. Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu [...]
Rais Samia afanya uteuzi

Rais Samia afanya uteuzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi kama ifuatavyo:- [...]
Moto Mlima Kilimanjaro

Moto Mlima Kilimanjaro

Moto ambao chanzo chake bado hakijajulikana, umezuka katika mlima Kilimanjaro, karibu na eneo la Karanga Camp lililopo urefu wa meta 3,963 kutoka [...]
Nelson Mandela kufundisha kwa njia ya masafa

Nelson Mandela kufundisha kwa njia ya masafa

Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Saynasi na Teknolojia ya Nelson Mandela, Profesa Emmanuel Luoga amesema taasisi hiyo imejipanga kuja na mfumo wa u [...]
1 60 61 62 63 64 184 620 / 1831 POSTS
error: Content is protected !!