Category: Kimataifa
Rwanda kugawa simu bure kwa Wananchi
Serikali ya Nchi ya Rwanda inatarajia kusambaza simu za kisasa takribani 14,000 kwa wananchi wake kwenye kampeni inayojulikana kama “Connect Rwanda Ch [...]
Tanzania, Uingereza kuboresha uhusiano wa kibiashara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameeleza dhamira na msimamo wa Tanzania katika kuboresha uhusiano wa kibiashara na Uingere [...]
Elon Musk kuuza hisa za Tesla kutatua tatizo la njaa duniani
Elon Musk, tajiri namba moja duniani amewapa mtihani Shirika la Chakula Duniani (WFP) kuthibitisha kwamba $6 Bilioni za kimarekani zinaweza kutatua ta [...]
Apata ajali, mkono washonewa tumboni
Maisha ni kama fumbo tunaamka wazima hatujui tutakutana na nini na wakati gani. Ni sawa na Martin Shawn wa nchini Uingereza ambaye alipata ajali mba [...]
Uingereza yakubali vyeti vya chanjo ya UVIKO-19 kutoka Tanzania
Octoba 7, 2021 Serikali ya Uingereza kupita Ubalozi wake nchini Tanzania ulitoa tamko la kupunguza vikwazo vya kuingia Uingereza kwa watanzania na wai [...]
Facebook yabadili jina
Mtandao wa Facebook umechukua uamuzi wa kubadili jina lake lililozoeleka na wengi na kujiita 'Meta'. Facebook imesema kuwa kufanya hivyo ni moja ya ha [...]
Mohamed Ibrahim: Kijana wa miaka 36 aliyezama kwenye penzi la Kikongwe wa miaka 82
Iris, kikongwe wa miaka 82, anaonekana mwenye furaha kila amzungumziapo mume wake wa ndoa, Mohamed Ibrahim raia wa Misri mwenye miaka 36.
Mohamed a [...]
Familia yakataa kumzika ndugu yao aliyeua watoto 10
Familia ya mshukiwa sugu wa mauaji ya watoto zaidi 10 aliyeuawa kwao baada ya kutoroka mahabusu ya polisi imemkana na kusema haitomzika kwa sababu ina [...]
Mtoto auzwa kwa milioni 1 kukabili njaa
Taifa la Afghanistan linapitia kipindi kigumu tangu wanamgambo wa Kiislamu wa Taliban kufanya mapinduzi ya Kijeshi Agosti mwaka huu. Nchi za Magharibi [...]
Leo katika Historia: Majeshi ya Uingereza na Ujerumani yanapigana huko Misri
Siku kama ya leo mwaka 1942, vita vya kihistoria vilivyopewa jina la El-Alamein vilitokea katika mji wenye jina kama hilo huko Kaskazini mwa Misri kat [...]