Category: Kitaifa
Ajira 32, 000 kutangazwa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema hivi karibuni serikali itatangaza ajira 32,000 kwa sekta zenye uhaba [...]
Waliopandikizwa mimba wajifungua
Wanawake watano kati ya tisa waliopandikizwa mimba kwa njia ya 'IVF' na 'artificial insemination' jijini Arusha wajifungua salama.
IVF ni njia ya [...]
Mambo sita ya kufanya kabla ya miaka 30
'Siku hazigandi', msemo wenye ukweli usiofichika aliowahi kuimba Lady Jaydee. Bila kujipanga siku, mwezi na mwaka vitaisha ukiwa unazidi kuongeza miak [...]
Majaliwa: bei zishuke
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasihi wazalishaji na wafanyabiashara wa bidhaa muhimu kutopandisha bei za vitu kiholela bila utaratibu na hatua kali k [...]
Mkurugenzi Mange App kizimbani
Mkurugenzi wa Mtandao wa Kijamii wa U turn Collection, Allen Mhina (31) na wenzake wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu [...]
Musukuma ajiuzulu
Mbunge wa Geita Vijijini ambaye pia ni Balozi wa Mazingira anayewakilisha Bunge, Joseph Kasheku (Musukuma) amejiuzulu ubalozi wa mazingira kufuatia ri [...]
JJ Mungai wafurahia madarasa ya Samia
Walimu, wazazi na wanafunzi wa Shule ya Sekondari JJ Mungai iliyopo halmashauri ya Mjini wa Mafinga wameeleza furaha yao kwa ujenzi wa madarasa uliofa [...]
Aliyeandika barua kuacha shule arejea
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya SEkondari Msimbati, Taufiq Hamisi (15) ambaye aliandika barua ya kuacha shule kutokana na ugumu wa mai [...]
Muliro: marufuku Daraja la Tanzanite
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema Jeshi hilo limepiga marufuku kwa mtu asiyehusika kufika chini ya Daraja hilo kuto [...]