Category: Kitaifa
Hiki ni kijiji mkoani Tanga ambacho makaburi yamefukuliwa na maiti kuibwa
Wananchi wa Mtaa wa Bwila, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga wameiomba serikali kuingilia kati na kutafuta ufumbuzi wa tatizo lao kwani watu wasiojulikan [...]
Taharuki yatanda watoto kuuawa na Fisi
Wakazi wa kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga wamekumbwa na hofu kufuatia kuwepo kwa matukio ya watoto kuliwa na fisi. Katika matukio hayo watoto [...]
Mjue Bibi Titi Mohammed, Mwanamke aliyezishinda Marekani na Urusi
Bibi Titi Mohammed, alizaliwa Dar es Salaam mwaka 1926, wazazi wake wote wakitokea Rufiji mkoa wa Pwani na walikuwa waumini wa dini ya Kiislamu. Baba [...]
Watumishi na viongozi wa Serikali washiriki kulima bangi Kilosa
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Alhaji Majid Mwanga amewataja baadhi ya viongozi, watumishi wa umma wa vijiji, vitongoji na kata zinazozunguka msitu wa Mkwi [...]
Kamera za usalama kufungwa nchini
Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa, ameagiza Wizara ya Teknolojia ya Habari kushirikiana na Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi kufunga kamera za ulinzi kwenye [...]
Mfahamu mtu ‘hatari’ aliyetajwa mbele ya Rais Samia leo
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, na mgeni wake, Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi leo waliongea na waandishi wa habari wakieleza yale waliyo [...]
Mambo 6 yaliyozungumzwa na Marais wa Tanzania na Burundi
Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi, yuko Tanzania kwa ziara kikazi ambapo leo akiongozwa na mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassan wamezungumza na [...]
Ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua dereva bodaboda
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Kanda ya Mbeya imemhukumu Emmanuel Msomba kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kufanya mauaji ya dere [...]
Waandishi wa habari Rukwa watakiwa kuchanjwa UVIKO-19
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joseph Mkirikiti amewataka waandishi wa habari kupata chanjo dhidi ya UVIKO-19 kwa kuwaambia wao pia wapo katika makundi hatar [...]
Mganga abaka ili apate mbegu za kutengeneza dawa
Mganga mmoja kutoka Chakechake, Zanzibar amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela ya kulipa fidia ya shilingi milioni 1 kwa kosa la kumbaka mke wa rafi [...]